lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu kilio – barnabas ke

Loading...

siku ya mwisho inakuja
siku ya kiama inawadia
utakuwa upande gani

utakuwa upande wa nani, oooh

there is h*ll and there is heaven
i said there is heaven and there is h*ll
siku ya mwisho inakuja
siku ya bwana inawadia

kutakuwa na kilio
kilio
kilio, oooh
kutakuwa na kilio
kilio
kilio, oooh

hakuna atakaye hurumiwa
kama ulikataa k*mwamini yesu
lakini kwa wale tumwaminio
hakuna furaha kama hii itungojayo
this is the only chance you get
if you believe you′ll be free
but if you don’t, my friend it′s over
there is no other way
but it was never god’s intention
for man to perish
time is running out
hurry up (kutakuwa na kilio)

kilio
kilio, oooh
kutakuwa na kilio
kilio
kilio, oooh

je nikuulize
uko tayari
yesu anabisha
leo amua
usisahau
tuko safarini
where will you spend your eternity

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...