lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu malkia – benkai

Loading...

[intro]
benkai oh yeah
oh ooh

[verse 1]
maneno mengi nimesema kwako ya kupagawa
madhila mengi nimetenda kwako ila sio sawa
na ulijitolea nitunzia maisha sina cha kukulipa eeh
na pamoja na visa vya kuudhi kabisa mbali hkunitosa
kile kidogo cha kuokota ndio pia unanilisha
na lako tumbo lasokota bora mimi nimepata
kesho asubuhi unajikokota ili uzidi kutafuta
mimi ni dua kukwombea mola

[bridge]
uchungu wa mwana aujuaye mzazi
sitakudharau mama nisije pata maradhi
mimi bado kijana sijamudu na kazi
ipo siku ntachanua nitakuonea radhi yeah yeah

[chorus]
nakwita nakuita malkia (ayayaya)
na mola akubariki pia (ayayaya)
akupunguzie mashida (shida)
akuongezee baraka (aaaah)
akuondolee mashaka (mashaka)
akuongezee na miaka (aaaah)
[verse 2]
nikikulaghai na kukupiga chenga na pia kukudharau
najua sifai ila bado wanipenda huwezi kunisahau
na upendo wako sio kama wa mabinti wa kutaka visenti
na fadhila zako kw*ngu kamwe hazifichiki nakupenda kishenzi
na moyoni mwako wafadhili kama benki hizo hisia za mapenzi
mimi mwana wako unafiki mi siweki kw*ngu mimi we riziki

[bridge]
uchungu wa mwana aujuaye mzazi
sitakudharau mama nisije pata maradhi
mimi bado kijana sijamudu na kazi
ipo siku ntachanua nitakuonea radhi

[chorus]
nakwita nakuita malkia (ayayaya)
na mola akubariki pia (ayayaya)
akupunguzie mashida (shida)
akuongezee baraka (aaaah)
akuondolee mashaka (mashaka)
akuongezee na miaka (aaaah)

[outro]
hakuna oh hakuna wa kukureplace
namshukuru maulana kwa kunibariki kuwa na wewe
iyeah yeah iyeah
uuuuuuh
[chorus]
nakwita nakuita malkia (yeah)
na mola akubariki pia (ayayaya)
akupunguzie mashida (shida)
akuongezee baraka (baraka aaaah)
akuondolee mashaka (mashaka mami)
akuongezee na miaka (haiyah)

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...