lirik lagu ogopa sana nairobi – bensoul
[verse 1]
habari mbaya zimenifikia
mandugu zangu wananikulia
k*mbe sahani yangu ni sinia
na inaniuma sana
yule mpenzi niliaminia
nikamuweka mbele ya dunia
i must be trippin’ nikikurudia
umenitesa sana
[chorus]
na*i*ro*bi
yule anakupea pia ananipea
akikuletea ananiletea
wanakula fare
sote tunashare
ogopa sana na*i*ro*bi
yule anakupea pia ananipea
akikuletea ananiletea
wanakula fare
sote tunashare
ogopa sana mama
[verse 2]
marashi yako yalinivutia
siku ya kwanza ulipopitia
k*mbe si mi pekee nilinusia
colander ya lavender
na mbogi yangu iliniambia
eti nikusare but sikusikia
i don’t wanna do this sh*t no more my dear
najuta kupendana
[chorus]
na*i*ro*bi
yule anakupea pia ananipea
akikuletea ananiletea
wanakula fare
sote tunashare
ogopa sana na*i*ro*bi
yule anakupea pia ananipea
akikuletea ananiletea
wanakula fare
sote tunashare
ogopa sana mama
gonga, gonga like (x5)
[verse 3]
wanahabari ninawapongeza
ujumbe w*ngu mmeufikisha
kwa raha zangu nawapakulia
na inanibamba sana
kutoka leo ninakujulisha
jina mpenzi ukinitupia
kwenye orodha we nakupepea
[chorus]
sorry si sorry
yule anakupea pia ananipea
akikuletea ananiletea
hii quality fare
sote tunashare
ogopa sana sorry si sorry
yule anakupea pia ananipea
akikuletea ananiletea
hii quality fare
sote tunashare
ogopa sana mama
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu romeo elvis › lirik lagu la nostalgie – roméo elvis
- kumpulan lirik lagu tiffany alvord › lirik lagu sweeter than fiction – tiffany alvord
- kumpulan lirik lagu easymoneygang › lirik lagu bisami dikon – easymoneygang
- kumpulan lirik lagu o s t r › lirik lagu track 3 – o.s.t.r.
- kumpulan lirik lagu wst › lirik lagu mõttemuuseum – wst
- kumpulan lirik lagu xvnи¥ › lirik lagu i c u – xvnи¥
- kumpulan lirik lagu soren huss › lirik lagu velkommen hjem – søren huss
- kumpulan lirik lagu rozzy › lirik lagu hakiri – rozzy
- kumpulan lirik lagu lea porcelain › lirik lagu a year from here – lea porcelain
- kumpulan lirik lagu in violet › lirik lagu city of nomads – in violet