lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu deka – billnass

Loading...

(its s2kizzy beiby)
uuuh uuh, yeah yeaah
hehe its s2kizzy zombie sio
oh nakuvizia tukeshe nasubiria tutete
nakuvisia tusepe napulizia mtete
watakususia mkweche nitakuzugia na pete
si unajua vile mi niko hoi hali tete
wapo walosema kwamba sipigi show
i wish you know wasikushawishi doo
na habari zao zakua, sitishi hivyo
charge empty kila suka yani baterry low
aah leo una vibe tukrefresh place
mi mgonjwa we tabibu
njo unitibu one stress nice
nitakuwa mjinga niki mess mess
ulikua nami toka sina kitu
enzi napiga deshi deshi
mi sijaambiwa nikwambie
ila moyo utani*tetereka
ukiwa mbali na miе
upweke uta nitetеmesha
furaha yako niachie
iii kwa mikono salama deka mmh
utakacho niambie oooh baby
tekma tekma deka
tekma tekma deka (deka ukiwa na mimi tu)
tekma tekma deka
tekma tekma deka (deka ukiwa na mimi tu)
aaah don’t let them fool you (fool you)
kisa umenipenda mimi huyu (huyu)
mapenzi ya dhati na hisia ulikwa nayo toka kitambo
na mengi uka hadithia, tunawezaje ikawa mipango
since day one niko na plan kichwani
nimilki mjengo na bonge la wife kwa ndani
wife si utani wife waku vibe kanisani
sio yule wife wa stamina alisepa nyumbani
mapenzi ni yetu yetu
na sisi kiviyetu vyetu
yani kama chuga
baridi yetu yetu
mi sijaambiwa nikwambie
ila moyo utani*tetereka
ukiwa mbali na mie
upweke uta nitetemesha
furaha yako niachie
iii kwa mikono salama deka mmh
utakacho niambie oooh baby
tekma tekma deka
tekma tekma deka (deka ukiwa na mimi tu)
tekma tekma deka
tekma tekma deka (deka ukiwa na mimi tu)
oooh ooh
deka ukiwa na mimi tu
oooh ooh
deka ukiwa na mimi tu
(the mix k!ller)

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...