lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu mafioso – billnass

Loading...

(its s2kizzy beiby)
aaahh…haya mafioso
aaahh…haya mafioso
mafioso mafio mafioso mafio(mafioso)
mafioso mafio mafioso mafio(haya mafioso)
nashukuru mungu kanipa uwezo multipurpose
watoto wadogo level zenu nyie ni pampers
outfit zangu haziwafit aaah bas
si unataka kuwa bill za nass
mitaani road patrol sijawahi kuajiriwa
nafocus bro ndo maana siwezi kutawaliwa
mnaomba sana doh ndio maana mnadharauliwa
na madem zenu fool ndio maana wanabanduliwa
sturagi ni za ng’ang’ang’a excuse
waambie majamaa walinikuta sina mood
sitwagini silaha ikakukosa ikarudi(ikarudi, ehee)
waambie majamaa walinikuta sina mood
pata kidogo ushukuru
hata ukikosa usikufuru
pata kidogo ushukuru
baba
aaahh…haya mafioso
aaahh…haya mafioso
mafioso mafio mafioso mafio(mafioso)
mafioso mafio mafioso mafio(haya mafioso)
trust me nimewekeza mda w*ngu
hamwezi nipoteza labda mtoke na roho yangu
kuni*crush me sio nyinyi labda dem w*ngu
shehe ni yule yule leo nimebadili kanzu
naishi mtaa mliopewa warning msipite
hapa polisi pale baa hakuna tatwishe
si mnajifanya vichaa muulizeni chris jike
msiba kwa jirani mama usipike
ya nini ufie uwezo wa mwanadamu ndile?
anayewеka kuumbuka udongo kama mbivu ingine
yaani nifeel nikiwa na chance nyingine
nikiwa na еlimu kidogo napiga brush wengine
pata kidogo ushukuru
hata ukikosa usikufuru
pata kidogo ushukuru
baba
aaahh…haya mafioso
aaahh…haya mafioso
mafioso mafio mafioso mafio(mafioso)
mafioso mafio mafioso mafio(haya mafioso
pata kidogo ushukuru
hata ukikosa usikufuru
pata kidogo ushukuru
haya
(lizer on the mix)

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...