lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu tatizo – billnass

Loading...

sio, sio kwamba mi nina wivu hivyo
ila tatizo kwamba ulileta maringo
ukashindwa geuza shingo
sababu sikuwa na mingle
ukanikana mbele ya wana ukaleta mazingzong
kule, kinondoni moscow, life changamoto
ughetto moja local, unadai ilivyo joto
mapenzi kweli nyoso, ukaniacha kwenye msoto
ukataka toka na vibopa (masonko)
nikakosa pambio, mtoto wa ghetto
ukanifanya mpaka nikaonekana mental
pindi nadanda danda mambo hayajasettle
si ulitaka taka mali
na mengine visizo na hali
ndo sababu haukuenda mbali
na mi rudi na hizo mali
si ulitaka taka mali
ukaniona choka mbaya
so ukiniona mimi tena
naomba ukar kae mbali
tatizo ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
na reason ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
tatizo, tatizo, tatizo, tatizo, tatizo, tatizo
dada tatizo
naskia stori kibao, mama walo kibao
na wenye hela kibao
sa mbona umeachana nao, hao walionizidi kete
wamekuwacha mpweke tatizo we kicheche
na ladha we sahau
nilivovisha kete naskia we ulicatch
unataka tu mabeste haiwezekani eeh
hatuwezi hata k*meet, unataka kurevenge
hapana mama siwezi
najua we una myo pia we una nafsi
ulinipenda ila ulishindwa tu kubaki
we una moyo pia we na nafsi
mahitaji yako sikutimiza kwa wakati
ulitaka taka mali
na mengine visizo na hali
ndo sababu haukuenda mbali
na mi rudi na hizo mali
ulitaka taka mali
ukaniona choka mbaya
so ukiniona mimi tena
naomba ukar kae mbali
tatizo ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
na reason ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
tatizo, tatizo, tatizo, tatizo, tatizo, tatizo
dada tatizo
mpya…mpya…
tatizo ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
na reason ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
tatizo, tatizo, tatizo, tatizo, tatizo, tatizo
dada tatizo

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...