lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu umenikosea – bonge la nyau

Loading...

[intro: bonge la nyau & kayumba]
whoa whoa whoa whoa
oohh
whoa whoa whoa
<>
mmmh…
whoa whoa whoa whoa
what?
ah, expensive rapper
whoa whoa whoa whoa
(juz biron)
swabree!
whoa whoa whoa whoa
wha?
yeah
ah
[verse 1: bonge la nyau]
hisia zangu zilikuwa sawa
akili yangu ilikuwa power
kwa maradhi yangu ulikuwa dawa
umenichoresha mbele ya ndugu, hii si sawa
washkaji waliniambia’ wewe kicheche, nikakataa (nikakataa)
k*mbe una maseke yamekujaa
wanakudandia’ mabisho na mapapaa (na mapapaa)
ukienda kwenye gesti, kwenye baa
ubinadamu kazi, ubinadamu shazi
mpende akupendaye uyaepuke maradhi

[chorus: kayumba]
mi najuta ku*roll nae (mambo mengi yamenikuta)
ku roll nae (sitaki, sitaki, sitaki, sitaki, sitaki)
mi najuta kuruka nae (pisi moja mabwana tisa)
ohh…
ruka nae ( toka mbele sitaki kabisa )
eh’ k*mbe chai karanga, manyanga, chakarichachacha
nishachoka utopolo, wallah nainua matanga
eh’ ushamaliza kariakoo, kigogo, (whoa, whoa, whoa, whoa)
ko usione jogoo ( whoa, whoa, whoa, whoa)
huwezi kusema, “no” (no,no,no, no)
viwanja vyote una go
eh’ ushamaliza kino kwa vigogo, (go,go,go,go)
ko usione jogoo ( go,go, go, go)
huwezi kusema, “no” (no,no,no, no)
viwanja vyote una go
[verse 2:]
ah’ umenipa wenge, pcbg
umeniroga, roga
nikawa sioni, siskii’ yaani zoba zoba
una lika na wengi, laini mboga mboga
sitaki tena mapenzi, nina uwoga uwoga
sasa nimeshtuka, ha!
suala la mapenzi futa, najua kilichonikuta
moyo usiende pupa (pu, pu )
mwingine nitatafuta
movie liko end weka nukta
ubinadamu kazi, ubinadamu shazi
mpende akupendaye uyaepuke maradhi

[chorus:]
mi najuta ku*roll nae (mambo mengi yamenikuta)
ku roll nae (sitaki, sitaki, sitaki, sitaki, sitaki)
mi najuta kuruka nae (pisi moja mabwana tisa)
ohh…
ruka nae ( toka mbele sitaki kabisa )
eh’ k*mbe chai karanga, manyanga, chakarichachacha
nishachoka utopolo, wallah nainua matanga
eh’ ushamaliza kariakoo, kigogo, (whoa, whoa, whoa, whoa)
ko usione jogoo ( whoa, whoa, whoa, whoa)
huwezi kusema, “no” (no,no,no, no)
viwanja vyote una go
eh’ ushamaliza kino kwa vigogo, (go,go,go,go)
ko usione jogoo ( go,go, go, go)
huwezi kusema, “no” (no,no,no, no)
viwanja vyote una go
[outro: kayumba & bonge la nyau]
umenikosea
nyauloso, umemkosea
eh’ k*mbe chep, chep, chep karanga
what?
igesa, world wide, ben q!
habari wanayo

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...