lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu for you♥️ – bri rasta 7/4

Loading...

intro
oooh ooh ooh
wamemchokoza bea

verse*1*bri
nikikaa poa nitakununulia passo
nitakuoa achana na kina pasco
mi good boy nimesoma don bosco
kama huamini muulize marlone fiasco
nakupenda ma
we ndio namba one
mwingine simtamani
kwako mi sioni
believe me after you me ni cmb
nitamiliki ata wale wcb
na vile nyandu nitaduet na bob
mi ndio superb wananijua rasta bri
mi mume wako
uko peke yako
achana nao kina naniu macho…..#**
kina naniu macho….#** oooh
nina good cv
na sio msanii
ila mi ninafanya tu for you mamy

chorus*bea
and this is for you babe
i wanna make you feel free(feel free)
babe feel free and happy
kuwa na furaha aaah aah ah
feel free
kuwa na furaha babe eeeh
verse*2*bri
kuna wahuni wanajifanya chapa rapa
ukishawapa zigo wao wanakopa
wanakung’ata
wanachapa rapa
wakishafu..** wanapita wanasepa
usije ukadata na wao
sisi sio size yao
kila mtu akale kwao
mi nawe tupige bao
mimi wa bunju sio masaki
nitakupa benz au cadillac
hauna tako kubwa kama sanchi
ila kwako babe navunja pochi

chorus*bea
and this is for you babe
i wanna make you feel free(feel free)
babe feel free and happy
kuwa na furaha aaah aah ah
feel free
kuwa na furaha babe eeeh

outro
it’s ya boy sabri
it’s bri rasta babe
i love you

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...