lirik lagu silali – brian simba
silali
verse 1
kila bar ninahang na machef na meneja
hata na mateja
na maslayqueen wanaokunywa champagne kwa mirija
ey
anywhere i go with the team ni balaa na ni danger
kwa ujumla tunagawa dose kwa maemcee
unaweza pata rejareja
all white uncle guni tee na macamouflage kama ninachill na wajeda
nikiwaga ke na mwanangu al b huwa njnachill tu kwa keja
anauliza “how a small n*gga like u ila daresalaam yote unaibeba?”
nawambia “uuh.. hata sio ishu.. huu mtiani nilionaga past paper”
nkisepa.. narudi zangu daressalaam kutembeza mikwaju na mboko
emcees gotta understand hip hop sio kushine na viwalo vya mkoko
rap ni maendeleo leo pandisha kaghetto balaa na mkoko
na ndo maana, uh silali.. kama popo
hook
na ndio maana ah!
silali × 7
na ndio maana dah!
silali ×7
verse 2
na ndo maana aahh..
nipo machoo
ukitaka jua ninahustle
cheki tee ilivoloa jasho
eti kisa sijavuta ndinga ninanyewa sana na hawa vijana wenye passo
k*mbe pisi zao zinakuja kwa magetto.. na wanangu wanashikaga matako
hatuna time mbulula!
huwa hatujalishi sura
tulivoshine ka mwanzo wa video ya icecream ya noorah
kazi kuwaza mamulla, nacheki machura
najipa makura
ebu piga uncle guni
dogo anauliza “umekula?”
mi nalala jicho moja
jicho jingine haifungi ka pharmacy… sinza
na wachawi wamekua wengi.. kanno kanambia wakinsogelea nawachinja
fake n*ggas cant ball wimme nawainjure
man nimekua ka ninja
flow zangu zimekua tamu kama chai yenye ginger cuz
hook
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu keyru › lirik lagu everything is a nameless feeling – keyru
- kumpulan lirik lagu partner look › lirik lagu leroy – partner look
- kumpulan lirik lagu cloudnone direct mr fijiwiji › lirik lagu stained glass – cloudnone, direct & mr fijiwiji
- kumpulan lirik lagu мезза mezza › lirik lagu pussykilla – мезза (mezza)
- kumpulan lirik lagu oribloom › lirik lagu save the world – oribloom
- kumpulan lirik lagu passion › lirik lagu beautiful jesus (live from passion 2022) – passion
- kumpulan lirik lagu d notive › lirik lagu let your mane down – d.notive
- kumpulan lirik lagu michael buble › lirik lagu my valentine – michael bublé
- kumpulan lirik lagu the peppermint trolley company › lirik lagu blue eyes – the peppermint trolley company
- kumpulan lirik lagu judith fra › lirik lagu là où je vais – judith (fra)