lirik lagu maisha – brokuod
taswira naivuta kinoma
napambana nipate kile sina
taswira naivuta kinoma
napambana nipate kile sina
nimejikaza sij*pata
pande zote duniani nimetamba
nilisoma nikatamarc
mpaka leo kazi sij*pata
bado kidogo tu, nitatoboa
bado kidogo tu, nitatoboa
kama magharibi, mashariki me nasonga
kusini kaskazini ninasonga ×2
napambana na maisha wee
na maisha wee
napambana na maisha wee
na maisha we
napambana na maisha wee
na maisha wee
ah ahh
na maisha we
ah ahh
na maisha we
na kagari nimebuy
na kanyumba nimejenga
juu amani nilidai
and am not about to die
with your pointless agendas
na hamjanijenga
bado kidogo tu, nitatoboa
bado kidogo tu, nitatoboa
kama magharibi, mashariki me nasonga
kusini kaskazini ninasonga ×2
napambana na maisha wee
na maisha wee
napambana na maisha wee
na maisha we
napambana na maisha wee
na maisha wee
ah ahh
na maisha we
ah ahh
na maisha we
na maisha we
na maisha we
na maisha we
na maisha we
bado napambana ( mbana, mbana, na maisha we)
napambana na maisha we
napambana na maisha we
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu gallow club › lirik lagu misery (prod. maeve) – gallow club
- kumpulan lirik lagu snbrn discrete sofia karlberg › lirik lagu paperweight – snbrn, discrete & sofia karlberg
- kumpulan lirik lagu leon rockmore › lirik lagu get it back – leon rockmore
- kumpulan lirik lagu msk max is quiet › lirik lagu наедине (in private) – msk (max is quiet)
- kumpulan lirik lagu showza › lirik lagu black and mint – showza
- kumpulan lirik lagu cardenales › lirik lagu hojas secas – cardenales
- kumpulan lirik lagu doherty › lirik lagu us (single version) – doherty
- kumpulan lirik lagu duckwrth › lirik lagu beg – duckwrth
- kumpulan lirik lagu halsey › lirik lagu you should be sad (lil rubbi remix) – halsey
- kumpulan lirik lagu lliieedd › lirik lagu глупая (silly) – lliieedd