lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu kichwa kibov – cannibal (ke)

Loading...

[intro: cannibal]
yeah, ipo shida
sikia wazimu wa kisanaa
majid fanya magic, na na now
na na now

[hook: cannibal] x2
cannibal ndio mimi kichwa kibov’
natema juu ya microphone sura mbov’
hiki ni kilio juu ya instrumental
kwenye studio kuna ku-rise na ku-fall

cannibal ndio mimi kichwa kibov’
natema juu ya microphone sura mbov’
hiki ni kilio juu ya instrumental
kwenye studio kuna ku-rise na ku-fall

[verse 1: cannibal]
uchungu ninaoskia mi na-cry, oh my!
kwenye microphone nafoka till i die, why lie?
my destiny, what is best for me
prophecy nishaikamata, tell me what’s the deal
kwa mashujaa, cannibal ni emperor
kwa hilo sanaa, elimisha vijana
disciple wa kamlesh naufuata msafara, mcs
nightmare mi ndio horror now
(mastura trabalula, shenzi type)

[hook: cannibal] x2
cannibal ndio mimi kichwa kibov’
natema juu ya microphone sura mbov’
hiki ni kilio juu ya instrumental
kwenye studio kuna ku-rise na ku-fall

cannibal ndio mimi kichwa kibov’
natema juu ya microphone sura mbov’
hiki ni kilio juu ya instrumental
kwenye studio kuna ku-rise na ku-fall

[verse 2: sharama]
huu upuzi ndio kazi, najigamba na kipaji
maskini jeuri, napiga muhuri wa uk- double o flani
mwanaharamu, kesi kalamu
natema mistari kwa mwendo wa kasi
nasonga ka farasi, mc shupavu
navunja masenge mbavu, sitaki upumbavu
sura mbaya, kuja paya
vichwa vigumu, prophets of doom
sura mbov, huyu ni [?], msanii
shika karatasi na kalamu
toka jasho la damu
unajipima damu kutoa salamu
tema ma-bomb ka sadaam, yei yeii
mwaga vina mc, yei yeii
sharama mupaye

[hook: cannibal] x2
cannibal ndio mimi kichwa kibov’
natema juu ya microphone sura mbov’
hiki ni kilio juu ya instrumental
kwenye studio kuna ku-rise na ku-fall

cannibal ndio mimi kichwa kibov’
natema juu ya microphone sura mbov’
hiki ni kilio juu ya instrumental
kwenye studio kuna ku-rise na ku-fall

[verse 3: cannibal and sharama]
shattah man napigania, mziki ndio maridhia
anijalia, mola nionyeshe njia, so
mcs bandia anzeni kukimbia
mapati ushasalia
panda kama unataka kwenye floor
man ndio nivyo, bli bli blo
nakukata bro!

[hook: cannibal] x2
cannibal ndio mimi kichwa kibov’
natema juu ya microphone sura mbov’
hiki ni kilio juu ya instrumental
kwenye studio kuna ku-rise na ku-fall

cannibal ndio mimi kichwa kibov’
natema juu ya microphone sura mbov’
hiki ni kilio juu ya instrumental
kwenye studio kuna ku-rise na ku-fall

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...