
liar - charisma (ke) lyrics
[verse 1]
kanairo mapenzi haitakangi wanyonge
ni kuchezana na kuambiana pole
ni kama tuko uasherati sisi sote
heri mimi nawekeleanga pombe
wale wabaya ni wenye pete kwa vidole
wale wabaya ni wenye wanakaa wapole
let me know
kama ni ngumu basi let me go
[chorus]
kila mtu anasema love is a scam
state of emergency everybody run
kila saa nikiw*nga nawe you’re the one
lakini tukiwachana we belong to everyone
i’m a liar, she’s a liar, sisi wote ni maliar woyo woyo
anagawa me nagawa, sisi wote ni wabaya, mayo mayo
[verse 2]
kwa local
zikishika napenda kutupa lugha
kulia na kushoto cheza na huyo dame gushodo
mkanganyo wa rosecoco, pojo na embedodo
baby a gal toto mastingo ni moto moto
tuko kanairo
usicheze na madame, watakupakata pakata na wakutoke maweng’
tuko kanairo
utakuliwa mresh, utadhani ni adui k*mbe ata ni so fresh
[chorus]
kila mtu anasema love is a scam
state of emergency everybody run
kila saa nikiw*nga nawe you’re the one
lakini tukiwachana we belong to everyone
i’m a liar, she’s a liar, sisi wote ni maliar woyo woyo
anagawa me nagawa, sisi wote ni wabaya, mayo mayo
Random Song Lyrics :
- dark lady - loredana bertè lyrics
- lowkey - hashim nawaz lyrics
- something more - ak kastro lyrics
- cinq centimètres par seconde - nedelko lyrics
- creature of the underworld - mockcharge lyrics
- bermuda triangle - intence lyrics
- ea!* - amarion lyrics
- one more day - sky-hi lyrics
- black mass - levit∆te lyrics
- run - killbunk lyrics