lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu i want – chris kaiga

Loading...

[chorus: mutoriah]
i want, i want, i want, i want
i want this girl to come and dance with me
like so, like so, like so, like so, like so, like so eh

[verse 1: chris kaiga]
nikikazana na hule nilikazanga ma shoe lace nikafunge
saa hii na turn up ndani ya club hata on a tuesday
na mi hujipata kila saa napapasa ka*shuthe
passa passa dancer mi ni mtu tu ma two*step
mafisi wanahanga ya ma haga na ma cute face
na binti anakaa ni kama ye ni star wa movie
mwili amebeba kama nganya ya bure
itabidi hata bill ikizidi waiter atumwe
waiter mbili baridi na glass ya champagne for the girl dem
kiti haikaliki mami aki dance for the mandem
akili imechizi naona after club ni mathare
akinikatikia hivi usiku yote hadi ngware
[chorus: mutoriah]
i want, i want, i want, i want
i want this girl to come and dance with me
like so, like so, like so, like so, like so, like so eh

[verse 2: chris kaiga]
ati
magaldem watamaliza the mandem
sijalipa rent washa nimalizia mshande
juu monday to monday, niweke clande
mtofauti kwa budget plus na beshte yake
itabaki nipange mpango w*ngu wa kando
juu hawa magaldem wako fine kama salamu
nawapiga kiswahili, kaa mtalamu
na sijatoka area za malindi ama lamu
aking’orea namchorea kaa kalamu
alafu songea beste yake na “how are you?”
natupa lugha niki*order tu mang’ang’u
baadaye baadaye nakafunga kaa karau

[chorus: mutoriah]
i want, i want, i want, i want
i want this girl to come and dance with me
like so, like so, like so, like so, like so, like so eh

[verse 3: chris kaiga]
ati
ananimaliza maliza na ka figure aki katika
majaliwa hata niambia amemarika marika
juu ame pakisha ma ninja wote wamemkaribia
but, najiaminia ka ki track ya nyashinski
kwanza nikichangamsha bale na ma tot za whisky
najipata nisha*manage k*msongeshea kiti
nikimchangamsha pale na mashots ka mbili
mf*ko ikule damage, madeni zizidii
mashida baadaye, brathe iko nini?
juu ana assets on assets, kaa budget ya nchi
namkulisha the language, aingie box vifiti
mpaka apige dance anirombosee mwili
[chorus: mutoriah]
i want, i want, i want, i want
i want this girl to come and dance with me
like so, like so, like so, like so, like so, like so eh

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...