lirik lagu adamu – christina shusho
mungu alipo muumba adamu
hak*mwacha awe pekeyake
akamfanyia msaidizi wakufanana naye
nyama yake katika nyama zake mfupa wake kati mifupa yake
mwanamume ataacha wazazi wake ataambatana na mkewe mwanamke ataacha wazazi wake ataambatana na mumewe
hawa wawili watakuwa mwili mmoja kwani nia moja washirikiane kwa pamoja
mambo haya matetu yawe ngao kwa upendo wenu eeeh hee hee hee
mambo haya matetu yatumike katika ndoa yenu eeh hee hee hee
nakupenda(mpenzi w*ngu ulivyoumbika)nakupenda(katika viumbe umezidi wote)nakupenda(nimekuchagua uwe w*ngu)nakupenda(kifo tu kitutenganishe)nisamehe(nikukosea unisamehe)nisamehe(nisamehe nisamehe mpenzi)nisamehe(mimi ni mwanadamu wala c malaika)nisamehe(ninaomba nisamehe mpenzi)asante(kwa kunichagua niwe wako)asante(umetimiza ahadi ya ndoa)asante(nitajitahidi niwe mwaminifu)asante(asante mpenzi w*ngu)asante
tuzishike sheria za mungu tutapona eeh tutapona eeh
tusikilize wenye hekima tutapona eeh tutapona eeh
kama kujenga watu wawili mimi nawewe tutunze ndoa yetu eeh
tusisikilize walimwengu hawana wema hawana wema hao
tupate kwa neno tulichuje lililo jema liwe letu
mpenzi w*ngu
nakupenda(mpenzi w*ngu ulivyoumbika)nakupenda(katika viumbe umezidi wote)nakupenda(nimekuchagua uwe w*ngu)nakupenda(kifo tu kitutenganishe)nisamehe(nikukosea unisamehe)nisamehe(nisamehe nisamehe mpenzi)nisamehe(mimi ni mwanadamu wala c malaika)nisamehe(ninaomba nisamehe mpenzi)asante(kwa kunichagua niwe wako)asante(umetimiza ahadi ya ndoa)asante(nitajitahidi niwe mwaminifu)asante(asante mpenzi w*ngu)asante
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu trece13 › lirik lagu no support no time to waste – trece13
- kumpulan lirik lagu ayosaturn › lirik lagu 5am on saturn – ayosaturn
- kumpulan lirik lagu irmak arici › lirik lagu söz yaşları – irmak arıcı
- kumpulan lirik lagu better person › lirik lagu something to lose – better person
- kumpulan lirik lagu verb t illinformed › lirik lagu nothing is new – verb t & illinformed
- kumpulan lirik lagu jack harlow › lirik lagu tyler herro – jack harlow
- kumpulan lirik lagu bigantdog raps › lirik lagu firework – bigantdog (raps)
- kumpulan lirik lagu easy life › lirik lagu daydreams – easy life
- kumpulan lirik lagu the oppressed › lirik lagu drunken skinhead – the oppressed
- kumpulan lirik lagu m brownie disson › lirik lagu dentro de ti – m. brownie & disson