lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu knowledge – cloudy 9

Loading...

[intro: cloudy 9]
young blood
hey, ideal records
what you think i came for?
waaooh, cloudy 9
h.i.v, frema mc

[chorus: cloudy 9]
kama mtaani kuna njaa tema knowledge
tuondokane na uf-kara baada ya knowledge
kuwa mc huna budi kuwa na knowledge
knowledge, knowledge
kama mtaani kuna njaa tema knowledge
tuondokane na uf-kara baada ya knowledge
kuwa mc huna budi kuwa na knowledge
knowledge, knowledge

[verse 1: frema mc]
niite frema mc the rap collage
natema fahisi, black knowledge
kwenye track hii sitaki comedy
mathematic mithili ya geometry
wacky mc nawa-crash kwenye comment
politric juu ya beat complex
na-spit holy verse kama prophet
mabishoo nawa-diss kila project
flow, n-z–switch bila sockect
mbishi nakimbiza jiji, nipo speed zaidi ya rockect
sikuhizi mapenzi hakuna
mabinti wanacheki change kwenye pockect
fake wengi street wanaitwa boshion
tozi huwezi copy motion
ni hard hazihitaji usoft, so usi-apply lotion
wape hi, oten na selemani msindi
sholobwenzi brotherman wa morogoro mji kasoro ocean ya hindi

[chorus: cloudy 9]
kama mtaani kuna njaa tema knowledge
tuondokane na uf-kara baada ya knowledge
kuwa mc huna budi kuwa na knowledge
knowledge, knowledge
kama mtaani kuna njaa tema knowledge
tuondokane na uf-kara baada ya knowledge
kuwa mc huna budi kuwa na knowledge
knowledge, knowledge

[verse 2: cloudy 9]
i gotta my scenarios n-ggas tryna pretend
jokofu on my back and am holding to the end
am so nasty for bars but not for hoes
beware with your dang tongue n-gga i be knock your shows
and get that dough, cuz am all about the cash flows
6 figures and above and not below
imma tree with art poetry, dont you see the fruits?
you tryna throw stones cuz am hot on beats
you gonna like cuz i never hated
never under-rated, am not over-rated
hits for the streets thats what people needy
you say, you gotta sk!lls but all i see is nothin’
dont live like a star, if you still upcoming
huu muziki siwezi udai kwasababu sijaukopesha
baada ya kifo naacha kazi na sio pengo wala nyufa

[chorus: cloudy 9]
kama mtaani kuna njaa tema knowledge
tuondokane na uf-kara baada ya knowledge
kuwa mc huna budi kuwa na knowledge
knowledge, knowledge
kama mtaani kuna njaa tema knowledge
tuondokane na uf-kara baada ya knowledge
kuwa mc huna budi kuwa na knowledge
knowledge, knowledge

[verse 3: h.i.v]
daima nitabaki mjuzi kwenye kazi hii
ma-wacky niwapuuzi nawatupa kwenye dustbin
shingoni rozali sina tasbii
eti, hip-hop haiuzi huo ni unafiki wa madee
maswali ya kiwacky kamuulize nash emcee
gangsta kama bun b, napeta kama young dee
namkalisha vibaya kali p
we ni fake tai chee, dont try me
mr. h.i.v, kung fu best, hq verse
chuo kikuu cha tenzi, masista duu washenzi
wanauza nyeti ila bila kuwapa cash first hawagawi penzi
naienzi school collage ya kizazi
muziki wenye knowledge kama daz
sumu ya panya mpeni wakazi
humu hapana, ngumu inachana wazi kama vazi

[chorus: cloudy 9]
kama mtaani kuna njaa tema knowledge
tuondokane na uf-kara baada ya knowledge
kuwa mc huna budi kuwa na knowledge
knowledge, knowledge
kama mtaani kuna njaa tema knowledge
tuondokane na uf-kara baada ya knowledge
kuwa mc huna budi kuwa na knowledge
knowledge, knowledge

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...