
tazama bwana - congress musicfactory lyrics
Loading...
tazama bwana
[ubeti 1]
(wanaume)
tazama bwana, enzini
mfalme mkuu ,na bwana mkuu
ufalme wake ni wa milele
uweza wake wadumu milele
(watu wote)
atawala, milele
mtukufu, twakuenzi
milele haubadiliki
aliye, na ndiye ajaye
[pambio]
twakutukuza
wewe wa pekee
twa-tukuza jina lako kuu
heshima kwako
watakatifu
tw-toa kwako sifa zote
[ubeti wa 2]
mwana kondoo, mwana wa mungu
mfalme mshindi, bwana mkuu
toa sauti, ya huk-mu
wajue bwana watawala
[pambio]
twakutukuza
wewe wa pekee
twa-tukuza jina lako kuu
heshima kwako
watakatifu
tw-toa kwako sifa zote
[pambio]
twakutukuza
wewe wa pekee
twa-tukuza jina lako kuu
heshima kwako
watakatifu
tw-toa kwako sifa zote
Random Song Lyrics :
- stresz²° - egotronic lyrics
- my money long like a leg part 3 - ham sandwich [usa] lyrics
- i dont sleep - jackie xan lyrics
- most high - kirk diamond lyrics
- babylon (snowlab remix) - falling north lyrics
- aborto não - obadias bernardes lyrics
- suicide - joshortiz lyrics
- savage - dripple6ix lyrics
- qayıt gəl - kənan qədimov lyrics
- you niggas is suckaz - detroit l-o lyrics