lirik lagu tazama bwana – congress musicfactory
Loading...
tazama bwana
[ubeti 1]
(wanaume)
tazama bwana, enzini
mfalme mkuu ,na bwana mkuu
ufalme wake ni wa milele
uweza wake wadumu milele
(watu wote)
atawala, milele
mtukufu, twakuenzi
milele haubadiliki
aliye, na ndiye ajaye
[pambio]
twakutukuza
wewe wa pekee
twa-tukuza jina lako kuu
heshima kwako
watakatifu
tw-toa kwako sifa zote
[ubeti wa 2]
mwana kondoo, mwana wa mungu
mfalme mshindi, bwana mkuu
toa sauti, ya huk-mu
wajue bwana watawala
[pambio]
twakutukuza
wewe wa pekee
twa-tukuza jina lako kuu
heshima kwako
watakatifu
tw-toa kwako sifa zote
[pambio]
twakutukuza
wewe wa pekee
twa-tukuza jina lako kuu
heshima kwako
watakatifu
tw-toa kwako sifa zote
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu lektikos epexergastis › lirik lagu μπείτε όλοι (beite oloi) – lektikos epexergastis
- kumpulan lirik lagu mythos recovery › lirik lagu i am good – mythos recovery
- kumpulan lirik lagu quinn ayers › lirik lagu goodfellas – quinn ayers
- kumpulan lirik lagu kenneth wade › lirik lagu blessed (with ajlay) – kenneth wade
- kumpulan lirik lagu hyungdon daejun › lirik lagu 그대 없이는 못 살아 (can’t live without you) – hyungdon & daejun
- kumpulan lirik lagu tjay rapper › lirik lagu uh na na (corrected) – tjay (rapper)
- kumpulan lirik lagu soyou › lirik lagu 제주도의 푸른 밤 (the blue night of jeju island) – soyou
- kumpulan lirik lagu cristy lane › lirik lagu i’m gonna love you anyway – cristy lane
- kumpulan lirik lagu loudon wainwright iii › lirik lagu he said, she said (live) – loudon wainwright iii
- kumpulan lirik lagu hawkshaw hawkins › lirik lagu i love you a thousand ways – hawkshaw hawkins