lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ndoa – country boy classic

Loading...

nilikua sijajua sasa nimeona oyaya!!
nakuombea nakadua ndoa iwe salama oyaaa!!
sinto sau tulivokua wote pamoja na familia,
umeondoka kwetu furaha tele tunywe tuzimwage bia

cheki watoto wana selebuka, daddy and momy wana selebuka,
upande wapili wana selebuka miuno mpaka chini wana selebuka

ndoa ndoa ndoa eeeeh!!
ndoa ndoa ndoa eeeh!!
ndoa ndoa ndoa!!!!! eeeh!!

nenda ukajenge familia mweshimu mmewe na mamakopia,
babako mkwe na wifi pia usije ukajichanganya na ya dunia
epuka marafiki wabaya wabaya aho!!aho!!
watakuja wakufunze rombaya rombaya aho!! aho!!)

cheki watoto wana selebuka daddy and momy wana selebuka,
upande wapili wana selebuka miuno mpaka chini wana selebuka

ndoa ndoa ndoa eeeeh!!
ndoa ndoa ndoa eeeh!!
ndoa ndoa ndoa!!!!! eeeh!!

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...