lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu wanaona haya (feat. khaligraph jones & s2kizzy) – country boy

Loading...

yeah
switch
y u l e b o y

s2kizzy baby
i gatchu

ah, naifanya game navyotaka
hatukalishi tunalaza
hivi we una pumzi brother
ushapataga mamikwanja kibao
kupata moja ndo unawaza mandoja

inakuaje mwana hatupatani
domo kaya kaiwasha nani
kimenuka pande zote mzee
sio hapa mpaka nchi za jirani

mana harufu haijulikani
i smell mmhff mmhff money money
kama sio mimi k dad
we unadhani angeweza nani?

zile bang bang au boom pack
n*z*murder murder anytime like eeeh
natamani ningekupa kichwa changu
ila akili yako haijabalehe

nishakua mtu mzima staki mambo ya beef wache watoto waendelee
hizi level hawatuwezi si masoldjier
knock knock mpaka ulegee

kuna funny story i got
it does’nt mean to offend n0body
si kuna kadem kalitaka penzi
na kakanihonga na forget

sijui kaliniona cheap
au kalinidharau
ila najua alichokipata
hawezi kuja kusahau

maninja huwaga hatuongeiongei
mikausho mikali kibubu
ukiona mademu wanadangadanga
ujue wana damu ya dudu eeh

middle finger iende kwa wambea
wote wanaotaka mi nitubu
bado sana mtaniskia sana
na n*z*di leta mavurugu

rooftop you know what i mean
yani level zetu ziko juu juu
yani level ziko juu juu eeh
kaa mbali we zuzu eeh

tell me what you see
when you look at me aah
tell me what you see
when you look at me aah

tell me what you see (wanaona haya)
tell me what you see (wanaona haya)
tell me what you see (wanaona haya)
tell me what you see (wanaona haya)
tell me what you see (wanaona haya)
tell me what you see (wanaona haya)

ukinicheki unacheki nini
nikikucheki nacheki ni chuki tu
cheza chini au utachapwa chupa
juu ukichoma picha na hatuchezi dude

jebu kati akichora vaku
tutamkuta kwake tumuache kiwete
muchanganya chocha ka sukari kwa chai na chanda chema sikivishi pete

niite kikwete wa kuchanachana
na ndo sana sana mi huwajaza wivu
nipo kidete kufanya drama
na shughuli za mchana mi huzifanya usiku

simba wa yuda amefika mjini
so we fala unaweza nambia nini
unataka kuona kama niko chini
basi samaki atarudi nyuma lini

hii hustle naitunza utadhani dini
itaninunulia nyumba na lamborghini
ila wataka kuona mimi masikini
ila wataka kuona mimi masikini

wanaconfuse confidence na ego
in my country nini au guess
some even think that am evil
juzi nkatumia jeneza kwa show wakadai hiyo move ni illegal

but forever i rebel and know that i do
i do it for my people
wanaona haya tupo on fire
all the glory i give to messiah
wanaona haya tupo on fire
na hakuna siku mi nitaretire

tell me what you see
when you look at me aah
tell me what you see
when you look at me aah

tell me what you see (wanaona haya)
tell me what you see (wanaona haya)
tell me what you see (wanaona haya)
tell me what you see (wanaona haya)
tell me what you see (wanaona haya)
tell me what you see (wanaona haya)

hahaaa yeaaah
s2kizzy wassup ma n*gga
i told ya (wanaona haya hao)
it is what it is ma n*gga
am tellin ya (wanaona haya hao)

yule boy gaddaffi
too real safi
yeah
toja waddup
daddy yoo

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...