lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu kijana mdogo – dalian

Loading...

jacky b

wanauliza maswali kamefika aje hapa?

na kametokea wapi? hakakuwa kwa mpango
nilikujaga ghafla! hawakujua nikifika
na hapa sijajileta nimeletwa na baba

umeniandalia meza mbele ya watesi w*ngu
kikombe chafurika baba
wema nazo fadhili zitanifuata milele
kila kila siku baba

kijana mdogo, lakini mungu mkubwa
kijana mdogo, lakini mungu mkubwa
mimi kijana mdogo, lakini mungu mkubwa
kijana mdogo, lakini mungu mkubwa

wanasema aliye juu, ati mngoje chini
wafanye w*ngoje milele
ongezea kibenzo, adisia kimansion
wafanye w*ngoje milele

na ubariki maboyz, gari moja haiwezi unda convoy
sherehe ya nyumba moja, hatuwezi kuenjoy
binadam ukikosa huwa wanakutenga
na ukipata wanasema skuizi kanajiona

lakini haidhuru
we wabariki tu na uwaongezee
wakipiga mdomo, wakuwe wameshiba
wasianguke huko wakipiga perepe

umeniandalia meza mbele ya watesi w*ngu
kikombe chafurika baba
wema nazo fadhili zitanifuata milele
kila kila siku baba

kijana mdogo, lakini mungu mkubwa
kijana mdogo, lakini mungu mkubwa
mimi kijana mdogo, lakini mungu mkubwa
kijana mdogo, lakini mungu mkubwa

umeniandalia meza mbele ya watesi w*ngu
kikombe chafurika baba
wema nazo fadhili zitanifuata milele
kila kila siku baba

kijana mdogo, lakini mungu mkubwa
kijana mdogo, lakini mungu mkubwa
mimi kijana mdogo, lakini mungu mkubwa
kijana mdogo, lakini mungu mkubwa

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...