lirik lagu ngwai – danski, lilmaina
(six position)
maboys wanataka tuende tuive shada
round mbili, tatu sasa sisi tuko rada
masanse wakikam tumeshajikata
mali zangu safi hadi huwezi ukazipata
masoja, wakanipata
“kijana hebu sema kila kitu ulikuwa unafanya”
afisa minajua unataka tu kukanjwa
nilikulwa maviboko zote kwa mapaja
ngwai ngwai, mangwai ngwai
ngwai ngwai, mangwai ngwai
ngwai ngwai, mangwai ngwai
ngwai ngwai, mangwai ngwai (wooh!)
ata mimi imeniboo
kuna maboyz wamekuja jooh
ati ngwai ngwai, mangwai ngwai (wuwii)
(six position)
nilichocha masa niko church (masa niko church)
k*mbe niko baze jaba na kishash
akipiga tunaenda mtaani very fast (mmh)
ebu try to do your things i’ll also do my part (mmh)
alijocha sahi mguu ziko apart (mguu ziko apart)
never a thing aii, mbona ati mbona unacatch? (ati mbona unacatch?)
after strath ni caribbean na ka shirt
alinidai wakanidai bahati mbaya wakabunt (twendee)
ati ngwai ngwai, mangwai ngwai
ngwai ngwai, mangwai ngwai
ngwai ngwai, mangwai ngwai
ngwai ngwai, mangwai ngwai (wooh!)
ata mimi imeniboo
kuna maboyz wamekuja jooh
ati ngwai ngwai, mangwai ngwai
(six position)
aii you want bambam? (bambam)
you want to chill with the big boys? (big boys)
aii, fuata nyuki ule asali
mkinitafuta hamnipati
siunajua mi nani?
davido, skelewu
fireboy, peru (aii*aii)
peru peru para
daro ni ya eight mbona manze nimelala? (aii)
ati buda zimewaii
ati buda zimewaii
buda niko jaba githurai na zimewaii
aii, venye macho zimewaii
ati buda zimewaii
aii, jaba githurai
aii, ati buda zimewaii
ati buda zimewaii na niko jaba githurai
ati, ah
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu rock e ringo › lirik lagu bem feito pra mim – rock e ringo
- kumpulan lirik lagu wili j › lirik lagu me gustas – wili j
- kumpulan lirik lagu raavn revenge › lirik lagu kill confirmed – raavn revenge
- kumpulan lirik lagu the everly brothers › lirik lagu the story of me – the everly brothers
- kumpulan lirik lagu die › lirik lagu life eraser – die
- kumpulan lirik lagu peer tasi פאר טסי › lirik lagu levad levad – לבד לבד – peer tasi – פאר טסי
- kumpulan lirik lagu halover › lirik lagu let me out – halover
- kumpulan lirik lagu el nino › lirik lagu shotgun – el nino
- kumpulan lirik lagu home remedy › lirik lagu tailgate – home remedy
- kumpulan lirik lagu chryczak › lirik lagu lambo – chryczak