lirik lagu muziki – darassa feat. ben pol
rudi utotoni usipotembea utabebwa mgongoni 255 champion boy niite mbwana samatta
wanaota mapembe waongezee mkia na ukinibeep tu nakupigia
an let me make one thing clear blaa blaa sitaki kusikia.
so simba so chui so mamba ngozi yangu inatosha kujigamba na sina maneno ya kwenye kanga ni kazi juu ya kazi yaan bambaa tu bambaa
kuzaa unaweza kuzaa kizaazaa sinzia fegi uchome kibanda kalale uote ndoto zako za kitanda si bado tupo macho mida ya w-nga
funga mkanda kaza na kamba ama ufate nyayo uchane msamba pasua miamba pasua anga tunasemaga chambua kama karanga
maisha na muziki acha maneno weka muziki…, ukiwa sap ukiwa hack ukiwa juu ukiwa chini piga muziki
(yeeeeah)
safari na muziki acha maneno weka muziki
(yeeeah)
kila unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki
bambataaa shika kamataa
pumba chakacha napokaa mchiz nshadataa nshadataaah
unataka kukimbia na hauna brekii what do you expect???
bongo congo kwa thabo mbeki cheza lokasa ya mbongo huwezi ku make.
watch urself usije ukajiconfuse mzuka wa kuruka reggae kwenye blues.
huna mchuzi no excuse, maisha yetu ya kila siku kama vile movie
vitu vingine havitakag ujuaj utajikuta unatandikia watu jamvi
kusubiria embe chini ya mn-z-, k-muelewesha chizi utajipa kazi.
funga mkanda kaza na kamba ama ufate nyayo uchane msamba.
pasua miamba pasua anga tunasemaga chambua kama karanga.
(uwiiiiiii)
rpt chorus…
wanatamani tupotee kwenye map tunapeleka game to the top top
i that i told you that we don’t stop we don’t stop…”walker”
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu emma › lirik lagu amami – emma
- kumpulan lirik lagu elwye › lirik lagu no more fame – elwye
- kumpulan lirik lagu chrlie_the_rebel › lirik lagu out of the way – ch@rlie_the_rebel
- kumpulan lirik lagu icy › lirik lagu s.vs.vvs – icy
- kumpulan lirik lagu grimiverson › lirik lagu touch the stars – grimiverson
- kumpulan lirik lagu chief keef › lirik lagu f’em – chief keef
- kumpulan lirik lagu absurd minds › lirik lagu i feel alive (jones mix) – absurd minds
- kumpulan lirik lagu johnny marr › lirik lagu the trap – johnny marr
- kumpulan lirik lagu alejandra avalos › lirik lagu amor fascíname – alejandra ávalos
- kumpulan lirik lagu london yellow › lirik lagu lemme eat your ass (sweatyasshole dis) – london yellow