lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu muziki – darassa

Loading...

rudi utotoni usipotembea
utabebwa mgongoni
255 champion boy
niite mbwana samata

wanaota mapembe waongezee mkia
na ukinibeep tunakupigia
and let me make one thing clear
blah blah blah sitaki kusikia
sio simba sio chui sio mamba
nogzi yangu inatosha kujigamba
na sina maneno kwenye kanga
kazi juu ya kazi yaani bamba to bamba

mzaa unawezaa kuzaa kizaazaa
sinzia na fegi uchome kibanda

kalale uote ndoto zako za kitanda
sisi bado tupo macho mida ya w-nga

funga mkanda kaza na kamba
ama ufate nyayo uchane msamba
pasua miamba pasua anga
tunasemaga chambua kama karanga

maisha na muziki
acha maneno weka muziki
ukiwa sad, ukiwa happy
ukiwa juu, ukiwa chini
piga muziki
yeeeh
safari na muziki
yeeeh
acha maneno weka muziki
yeeeh
imba unachopenda na ukitaka kucheza
cheza muziki
bambata shika kamata
rumba sakata
napokaa mchizi nshadataa nshadaa aah

unataka kukimbia na hauna break
what do you expect
bongo, kongo au kwa thabo mbeki

cheza lokasa yam bongo uweze k-make
watch yo self usije jiconfuse
mzuka wa kuruka rege kwenye blues
una mchuzi no excuse
maisha yetu kila siku kama vile muvi
vitu vingine havitakagi ujuaji
utajikuta unatandikia watu jamvi
kusubiria embe chini mn-z-
k-mwelewesha chizi utajipa kazi
funga mkanda kaza na kamba
ama ufate nyayo uchane msamba
pasua miamba pasua anga
tunasemaga chambua kama karanga

chorus

wanatamani tupotee kwenye map
tuanapeleka game to the top top
i thought i told that we don’t stop
don’t stop, we don’t stop
wanatamani tupotee kwenye map
tuanapeleka game to the top top
i thought i told that we don’t stop
don’t stop, we don’t stop

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...