lirik lagu namba 8 – daz baba
intro: fid q
lina nichanganya umbo lake, nikimpata simuachi
lina nifanya nimfate, akinimwaga ita ni*touch ah!
aaa…anayevutia…
lina nichanganya umbo lake, nikimpata simuachi
lina nifanya nimfate, akinimwaga ita ni*touch ah!
uuu….utamfurahia….
chorus: daz baba
mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasema’ nampenda sana
au apige hilo gita majani’ kama santana, ili na mimi nimuimbie mama…
mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasema’ nampenda sana
embu piga hilo gita majani’ zaidi ya santana, ili na mimi nimuimbie mama…
verse 1: daz baba
nimekaa chini mtu mzima nikafikiria
warembo wengi sana kwenye hii dunia
mi umbo namba nane kichwani akan’jia, toka moyoni sina budi k*msifia
mwenye sura matata, macho yanayoita
ana utata huyu binti wa ki*afrika, hata mcheki alivyo umbika’ ana bebeka kama gita
akitembea’ bado ana tingisha, pendeza kimavazi, hata akiweka pozi
mtoto anaweza akakutia “hard” kwenye njozi
sijui niseme akae, au niseme asimame
lile umbo namba nanе watu wote mumuone…
chorus: daz baba
mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasеma’ nampenda sana
au apige hilo gita majani’ kama santana, ili na mimi nimuimbie mama…
mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasema’ nampenda sana
embu piga hilo gita majani’ zaidi ya santana, ili na mimi nimuimbie mama…
verse 2: fid q
anauliza kama nina demu, namwambia, sina!
anahisi ashaniona sehemu, tatizo kanisahau jina
unaitwa nani?: fid q
unaishi wapi?: ghetto
kazi yako ni ipi?: muziki, (ausio)
mdomo una kuwa mzito, niongee kipi cha maana
ki vipi nimkazie jicho wakati binti kasimama
au nijikombee maujiko, fid sitaki kujuana
(?) usinizingue ki hivyo, mi simuachi huyu kimwana
anaonyesha’ hana maringo lakini ashawahi kupima
asha nzimika kimtindo, mchizi kipingamizi sina
yupo shkopa, yupo shalo, tina tina, yupo full’ (oi!)
kama wasemavyo watu wazima
chorus: daz baba
mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasema’ nampenda sana
au apige hilo gita majani’ kama santana, ili na mimi nimuimbie mama…
mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasema’ nampenda sana
embu piga hilo gita majani’ zaidi ya santana, ili na mimi nimuimbie mama…
verse 3: daz baba
(?) anapokaa’ mimi napajua, najua k*mfata wala haitonisumbua
kama ananipenda kweli, nami nampenda pia
ndio maana mpaka sasa bado na muimbia
mi umbo namba nane ananichanganya, embu piga hilo gita majani’ zaidi ya santana*na
ukiwa nae watu watababaika, na macho kuona wakimuona watamfuata
hakika una sifa’ zote, popote’ alipo utataka we uende, umfuate, umvishe pete… yeye…
eeh…
chorus: daz baba
mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasema’ nampenda sana
au apige hilo gita majani’ kama santana, ili na mimi nimuimbie mama…
mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasema’ nampenda sana
embu piga hilo gita majani’ zaidi ya santana, ili na mimi nimuimbie mama…
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu trev rich › lirik lagu the break – trev rich
- kumpulan lirik lagu beatriz luengo › lirik lagu flor de loto – beatriz luengo
- kumpulan lirik lagu ich ich › lirik lagu dadadada – ich + ich
- kumpulan lirik lagu paul oakley › lirik lagu jesus you alone – paul oakley
- kumpulan lirik lagu carousel › lirik lagu games – carousel
- kumpulan lirik lagu reign of terror › lirik lagu all good – reign of terror
- kumpulan lirik lagu giorgio laneve › lirik lagu la storia di febbraio – giorgio laneve
- kumpulan lirik lagu lo australia › lirik lagu gods of ruin – lo! (australia)
- kumpulan lirik lagu dumbfoundead › lirik lagu cell phone – dumbfoundead
- kumpulan lirik lagu sho hai › lirik lagu entro – sho-hai