lirik lagu usihukumu – daz baba
[instrumentals]
chorus:
usi huk*mu mwenzako bila ya kujua, utakuwa unakosea
disa’ kwani wote tumeletwa na mwenyezi’ chini ya jua
sure’ ah…aah…aahaa…
( watu wanaishi vipi )
bora ukinielewa…
( maisha mafupi )
verse 1:
ukisikia’ kwanza fuatilia, ukishajua ndipo uchukue hatua
usipende kuhisi zaidi ya kudadisi, haifai k*muita mtu wa mola, ibilisi
masela w*ngu wapo’ jela kitambo, w*n*lalamika uswazi hawajafanya mambo
hawajui lini milango itafunguka, wasio na hatia waweze toka
adui au rafiki hadi sasa hajulikani, vipi mwanadamu achukue sheria mikononi
hata tukiulizana yupi anaeongoza kwa mema, usiku na mchana tutakesha’ hatutamuona
chorus:
usi huk*mu mwenzako bila ya kujua, utakuwa unakosea
disa’ kwani wote tumeletwa na mwenyezi’ chini ya jua
sure’ ah…aah…aahaa…
( watu wanaishi vipi )
bora ukinielewa…
( maisha mafupi )
verse 2:
wote tumezaliwa’ dunia tumeikuta, yote hatutaimaliza, tupo njiani tunapita
usimdharau yule usiyemjua kwani baadaе anaweza akakusaidia
usimhuk*mu yeyote yulе’ kwa ajili ya mavazi yake
usimshutumu yeyote yule’ kwasababu ya makazi yake
kama mmekoseana mueleweshane, isiwe sababu mbali mfikishane
maisha ni matamu lakini ni mafupi, na wote hatujui huk*mu yetu saa ngapi
chorus:
usi huk*mu mwenzako bila ya kujua, utakuwa unakosea
disa’ kwani wote tumeletwa na mwenyezi’ chini ya jua
sure’ ah…aah…aahaa…
( watu wanaishi vipi )
bora ukinielewa…
( maisha mafupi )
outro:
tusihuk*mu wachanga, yeah! hawajui wanapo kwenda
un*huh!
daz nundaz, sewa side, (?) , majani, tufate haki, ausio?
yeah, mon!
[instrumentals]
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu wtfbrahh › lirik lagu just dance (francis remix) – wtfbrahh
- kumpulan lirik lagu lonely robot › lirik lagu symbolic – lonely robot
- kumpulan lirik lagu 6 doble 7 martyafterdark › lirik lagu duplicamos – 6 doble 7 & martyafterdark
- kumpulan lirik lagu richard estrada › lirik lagu if you had stayed – richard estrada
- kumpulan lirik lagu m i m e › lirik lagu bad – m.i.m.e
- kumpulan lirik lagu proxima estacion › lirik lagu expansión – próxima estación
- kumpulan lirik lagu dark quarterer › lirik lagu plinius the elder – dark quarterer
- kumpulan lirik lagu kay anthony › lirik lagu l.n.t. – kay anthony
- kumpulan lirik lagu boe official › lirik lagu problems – boe (official)
- kumpulan lirik lagu wayv › lirik lagu bad alive (english ver.) – wayv