lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu naamini – demi alicia

Loading...

demi alicia lyrics

intro
naamini, naamini

verse 1
ni asubuhi na mapama
naamka kwenda kutafuta
riziki wala sina muda

sina mali wala nyumba
nakodi hata kwa vibanda
naamini siku itafika

bridge
maana kuna muda
maji yan*z*di unga
n*z*di k*mwomba mumba
kikombe hiki anitolee

kuna wakati wa suna
wala sioni hata mvua
ipo siku mi najua
siku yangu itafika
chorus
naamini
naamini
naamini
naamini

verse 2
nashkuru mama
kwakunilea
j*po mwanitegemea
niombeeni

nitang’ang’ana saana
uf*kara usije tupata
tununue kashamba
tujenge nyumba
na tufuge vibata

na nimelala hoi
kisha naamka
wala hata sikomi
kucha natafuta
nikipata sawa
nikikosa sawa
bridge
maana kuna muda
maji yan*z*di unga
n*z*di k*mwomba mumba
kikombe hiki anitolee

kuna wakati wa suna
wala sioni hata mvua
ipo siku mi najua
siku yangu itafika

chorus
naamini
naamini
naamini
naamini

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...