lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu dawa (feat. rofa) – deva apoll

Loading...

daw daw dawa
daw daw dawa
daw daw dawa

dtband again
monica wendo dawa wendo mamalao
they call me rofa
nakutaka sio utani una wazidi wao
shege sounds

mutu moja ka niambiya ana nipenda
nika sema no namiye piya nina mwengine naye mupenda
sweety (eh)
na kama sijakuona sija sinziya
ah my pretty girl mmh
(njo nibebe)
na kama sijakuona sija tuliya
uki ni busu ah mina sema wow mina pendwa walahi walahi
yani we ni w*ngu niku ache why
bila wewe sifahi sifahi

ulisha nifunza upendo (pendo pendo)
unajuwa mambo mrembo
mtoto weni wa matendo (tendo tendo)
ushani weza weh aaah

weni w*ngu

daw daw dawa ah weni yangu dawa
daw daw dawa uh we dawa
daw daw dawa uh weni yangu dawa
daw daw dawa

oh dawa

dadaw
weniwa

oh cherie sitaki we nde mbali nami wenjo dawa wenjo dawa baby
wale wanao kutamani waone haya waone haya baby
moyo w*ngu bila pupa nisha ukupa usije utupa yeh
maana nitakufa usipo nipa

yako busu ah inani ponesha mina lapa walahi walahi
nami nitaku fata wherever you fly bila wewe sifahi sifahi

weni w*ngu

daw daw dawa ah weni yangu dawa
daw daw dawa uh we dawa
daw daw dawa uh weni yangu dawa
daw daw dawa oh dawa

daw daw dawa ah weni yangu dawa
daw daw dawa uh we dawa
daw daw dawa uh weni yangu dawa
daw daw dawa oh dawa

weni yangu dawa
weni w*ngu dawa yangu dauhh
weni yangu daw uuh uuh

monica wendo dawa wendo mamalao
nakutaka sio utani unawazidi wao

ya kemvi on the track

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...