
mapenzi basi - diamond platnumz lyrics
[intro]
(a*a*a, am records)
this is crazy
but, i just wanna tell you
how badly my heart is breaking
this is absolutely painful for me to say
‘d*mn’
[chorus]
mi mwenzenu tena basi
oh, mapenzi sitaki
oh, mwenzenu tena basi
basi
sitaki
mi mwenzenu tena basi
oh, mapenzi sitaki
oh, mwenzenu tena basi
basi
sitaki
[verse 1]
yalinifanya nikaugua
mara napanga napangua
mwili ukakonda nikapungua
ah, sikulala (sikulala)
oh, maradhi nikaugua, oh oh
yakanichoma na kuungua roho
kutwa nawaza na kuwazua
sikulala…
[pre*chorus]
eh
haya mapenzi bwana
hayana maana
yalinifanya mi nichekwe
sababu yake nsh*gombana
nikatukanwa
lakini akanipiga teke
aiih
haya mapenzi bwana
hayana maana
yalinifanya mi nichekwe
sababu yake nsh*gombana
nikatukanwa
iye
[chorus]
mi mwenzenu tena basi
oh, mapenzi sitaki
oh, mwenzenu tena basi
basi
sitaki
mi mwenzenu tena basi
oh, mapenzi sitaki
oh, mwenzenu tena basi
basi
sitaki
[verse 2]
oh, nilish*gombana na mama mzazi
akataka nimwagia radhi
sababu yule fulani
yule wa moyo w*ngu
yakaleta zengwe kwa kazi
ugomvi wa simba na panzi
vurugu kwa majirani
ah, e mola yangu
[pre*chorus]
eh
haya mapenzi bwana
hayana maana
yalinifanya mi nichekwe
sababu yake nsh*gombana
nikatukanwa
lakini akanipiga teke
aiih
haya mapenzi bwana
hayana maana
yalinifanya mi nichekwe
sababu yake nsh*gombana
nikatukanwa
iye
[chorus]
mi mwenzenu tena basi
oh, mapenzi sitaki
oh, mwenzenu tena basi
basi
sitaki
mi mwenzenu tena basi
oh, mapenzi sitaki
oh, mwenzenu tena basi
basi
sitaki
Random Song Lyrics :
- a price for freedom - shadowkiller lyrics
- söz - murda & ezhel lyrics
- beholden - joel plaskett lyrics
- 隣のgod (tonari no god) - pizzalove lyrics
- goku vibes - dj chari & dj tatsuki lyrics
- musentod - fabian simon & the moon machine lyrics
- hinayana - phased lyrics
- put it in the air - marriii3x lyrics
- эпоха криминала (era of crime) - bad balance lyrics
- shudder - camp 8 lyrics