lirik lagu mapenzi basi – diamond platnumz
[intro]
(a*a*a, am records)
this is crazy
but, i just wanna tell you
how badly my heart is breaking
this is absolutely painful for me to say
‘d*mn’
[chorus]
mi mwenzenu tena basi
oh, mapenzi sitaki
oh, mwenzenu tena basi
basi
sitaki
mi mwenzenu tena basi
oh, mapenzi sitaki
oh, mwenzenu tena basi
basi
sitaki
[verse 1]
yalinifanya nikaugua
mara napanga napangua
mwili ukakonda nikapungua
ah, sikulala (sikulala)
oh, maradhi nikaugua, oh oh
yakanichoma na kuungua roho
kutwa nawaza na kuwazua
sikulala…
[pre*chorus]
eh
haya mapenzi bwana
hayana maana
yalinifanya mi nichekwe
sababu yake nsh*gombana
nikatukanwa
lakini akanipiga teke
aiih
haya mapenzi bwana
hayana maana
yalinifanya mi nichekwe
sababu yake nsh*gombana
nikatukanwa
iye
[chorus]
mi mwenzenu tena basi
oh, mapenzi sitaki
oh, mwenzenu tena basi
basi
sitaki
mi mwenzenu tena basi
oh, mapenzi sitaki
oh, mwenzenu tena basi
basi
sitaki
[verse 2]
oh, nilish*gombana na mama mzazi
akataka nimwagia radhi
sababu yule fulani
yule wa moyo w*ngu
yakaleta zengwe kwa kazi
ugomvi wa simba na panzi
vurugu kwa majirani
ah, e mola yangu
[pre*chorus]
eh
haya mapenzi bwana
hayana maana
yalinifanya mi nichekwe
sababu yake nsh*gombana
nikatukanwa
lakini akanipiga teke
aiih
haya mapenzi bwana
hayana maana
yalinifanya mi nichekwe
sababu yake nsh*gombana
nikatukanwa
iye
[chorus]
mi mwenzenu tena basi
oh, mapenzi sitaki
oh, mwenzenu tena basi
basi
sitaki
mi mwenzenu tena basi
oh, mapenzi sitaki
oh, mwenzenu tena basi
basi
sitaki
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu whassup whoadie › lirik lagu bee’s nest – whassup whoadie
- kumpulan lirik lagu gunship tyler bates › lirik lagu berserker – gunship & tyler bates
- kumpulan lirik lagu ooti skulf › lirik lagu i should stop eating stones – ooti skulf
- kumpulan lirik lagu new empire › lirik lagu relight the fire (acoustic) – new empire
- kumpulan lirik lagu eazy mac › lirik lagu #monkeybars – eazy mac
- kumpulan lirik lagu abdelazize el hasnaouy el ouaaziki › lirik lagu abdelazize el hasnaouy el ouaaziki – abdelazize el hasnaouy el ouaaziki
- kumpulan lirik lagu the como brothers › lirik lagu feeling the night – the como brothers
- kumpulan lirik lagu genie midas › lirik lagu apologize – genie midas
- kumpulan lirik lagu bishat › lirik lagu give you up – bishat
- kumpulan lirik lagu cashleaders › lirik lagu acid lick – cashleaders