lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nawaza – diamond platnumz

Loading...

nawaza lyrics
nawaa
naaawaaa
naaawaaa
nawaza tu
nawaa
naaawaaa
naaawaaa
nawaza tu

nawaza pru mpaka maka ruge amerudi tena
je kwa huu mziki wa sasa sijui nini angesema!?
na nimejifunza binadamu kweli hawana jema
yani mtoto unaemtunza ndo anakuombea ukilema
nashangaa

nawaza vanny na elizabeth clip zao zikivuja
ndoa itaimarika eti au ndo ataifoja?!
nawaza muchana,usiku jibu halifiki
wanaonitukana, tuna bifu au ilimradi kiki?!
nawaza kina kimambi bwana w*ngekua wagawa ridhiki
hivi kweli ningejulikana si w*ngenizima nsisike
nlowaza leo nshawaza sana kina kiba ugomvi kipi?!
nikagundua ni ushamba na ujana wa kugombania mashabiki

nawaa…naaawaaa…naawaaa…nawaza tu
nawaa…naaawaaa…naawaaa…nawaza tu
oooh nawaza
huenda steven kanumba angelikuwepo hai
nawaza movie zetu pia tungejidai
nawaazaa hivi kombe la dunia hatufikagi why?!
nawaza,tatizo ni team au uongozi haufai
mawazo mengine mtanange bora tuache yataleta ukakasi
je angekuepo muzee nyange,uncle shamte angepata nafasi?!
nawaza ka ngеkua na wema sepetu hadi lеo sijui ngekua nshafulia au zaidi maendeleo

ooh nawaza siku nikifa sijui wasafi itakufa
nawaza sijui maradhi ama ajali itanikuta
nawaza oh mama dangote nani chozi atamfuta
nawaza sijui nyimbo zangu watazik*mbuka
eeeh
nlowaza leo nshawaza sana nnachoshindwa kuwa kipi
nikagundua naepusha lawama maana najijua kwa kucheat

nawaa
naaawaaa
naaawaaa
nawaza tu
nawaa
naaawaaa
naaawaaa
nawaza tu

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...