lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu arciah anyanga wangara – don santo

Loading...

stanza one
kama kuna mtu mwema, si mwengine;
ila wewe arciah eh w*ngara;
na mipango ya mola ni mengine;
na sasa upo ahera ah mama

ulicheza santo, franco sawa na kidum
ulinilea nikiwa sijifahamu mama rabin;
tunakukosa oh sana ooooh!

prayer
raha ya milele umpe ariciah anyanga w*ngara, ee bwana, na mw*nga wa milele umuangazie
roho yake na roho za marehemu wote kwa rehema za mwenyezi mungu zipumzike kwa amani. amina
stanza two
kama kuna mtu mwema, si mwengine;
ila wewe arciah eh anyanga;
na mipango ya mola ni mengine;
na sasa upo ahera ah mama

ulikuwa na moyo wa malaika;
ulitulea wengi oh mama aaliyah;
tunakukosa oh sana ooooh!

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...