lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sina - eddy bleyz lyrics

Loading...

[intro]

eddy bleyz

iyeeh!! iyeeh!!
music playing…

[verse 1]

namshukuru mola baba
kunipatia uzima na afya
kwani ni wengi wameomba
alfajiri kushapambazuka

jua lang’aa, linaangaza
ila wengine ni wagonjwa
kidogo nipatacho
kushukuru ni lazima

maana sijui kesho
riziki natafuta
maana ya mola mengi
imani nitapata

siku zinapita
miezi kwa miaka
imani nitatoboa
[chorus]

sina
tabia za unafiki

sina
majivuno jivuno

sina
yale ya kuunga unga
(oweeeeh!)

sina
chuki, fitina

sina
kishingo upande, vinyongo

sina
mambo ya sokoto
(oweeeeh!)

music playing…

[verse 2]
namk*mbuka mama
aliniasa mwana
nizidi kupambana
maana ya dunia ni mengi

wala sijui kesho nita kuwa wapi
eeeh baba, zidi kuniangaza
ya dunia yasiniteke

kipaji nilichonacho
nitakitumia vyema
nisije kata tamaa

kwani mengi yamesemwa
yakukatisha tamaa
ila sitianguka kamwe

kusali nitasali
na zaka nitatoa
maana mungu pekee muweza

[chorus]

sina
tabia za unafiki
sina
majivuno jivuno

sina
yale ya kuunga unga
(oweeeeh!)

sina
chuki, fitina

sina
kishingo upande, vinyongo

sina
mambo ya sokoto
(oweeeeh!)

[verse 3]

mida nayo inakimbia
(kimbiaa!)
kesho kutwa nitaitwa mzazi

vipi kama sina maadili
watoto nao wakanikimbia
familia ikaanza poromoka
nami nikaishia kujutia

sapoti mnazonipa
dua kwa mola naomba
nisije wasahau kamwe

kufunga nitafunga
na sala nitasali
maana makuu ya mola ni mengi

[chorus]

sina
tabia za unafiki

sina
majivuno jivuno

sina
yale ya kuunga unga
(oweeeeh!)

sina
chuki, fitina

sina
kishingo upande, vinyongo

sina
mambo ya sokoto
(oweeeeh!)

music playing…

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...