lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nakupenda lyrics ( @eli_maliki ) – eli maliki

Loading...

verse 1
in my many flaws
a times i get lost in my zone
natafuta fursa za hela usiku na mchana (oh oh oh )
truth is, i love you so
i know that i need to show it a little more
siwezi kuishi bila wewe
maisha si kamili bila wewe

chorus
nakupenda nakupenda nakupenda
malkia baby { x2 }

verse 2
ah ah ah haijalishi mvua au jua tutazidi ku
simama imara bila shaka mara kwa mara
kuelewana hata tukukosana tunapenda
i wanna be a better man for you
yo’ my dream queen baby

chorus
nakupenda nakupenda nakupenda
malkia baby { x2 }

bridge
wewe ni wakipekee ( wewe ni wakipekee)
{x4}

chorus
nakupenda nakupenda nakupenda
malkia baby { x2 }

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...