lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu usiyeacha nipotee – elias patrick

Loading...

nachagua kukushukuru, haijalishi ni wapi napita
ila naamini wewe upo nami
hujawahii niacha wala kunipungukia

majira yote
nyakati zote
hujawahi niacha, mi ninyauke
usiyeacha mi kunipenda
uondoaye baba majonzi yangu

usiyeacha niangamizwe
usiyeacha mi nipotee
usiyeacha, nigharikishwe
usiyeacha, mi nipotee

kwenye dhoruba utavuka na mimi
hata kwenye moto upo na mimi
kwenye dhoruba utavuka na mimi
hata kwenye moto upo na mimi

nitupwapo kwenye tundu la simba
we mtetezi w-ngu uliye hai

unifutaye machozi yangu
uondoaye uchungu w-ngu
ufutaye machozi yangu
unipaye tumaini la milele
usiyeacha mimi nipoteee

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...