lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu bonge la toto – ellisha james

Loading...

hook:

bonge la toto
bonge la toto
bonge la toto
bonge la toto x2
usiku ndo oooh no amsha popo ×2
chuga baridi ni kali nagandana nae
joto la bongo na jasho naloana nae ×2

verse 1:

yake maguu nafananisha champagne na bia
kama majuu ananidatisha anavyovalia
eeeh she is my african queen 2face idibia
oooh yake ladha halisia si ndo ninachojivuniia
bonge la toto
bonge la toto
bonge la toto, utahonga mkoko
eeh she is the african queen 2face idibia
oooh yake ladha halisia ndo ninachojivuniia
mwonekano wake malighafi maridhawa, na mikato yake mtikasi ya jukwaa
kidesign naduwaa, si mzaha sultani ingekuwa bba she deserves number one…

bridge:

ni wazi kwamba najidai napokuwa nae
maana ni ma-b-tterflies anaponi-hug
ghafla najikuta high sij-panda flight
shukrani kwa ngai, ay nasema asantee eeeh

(hook)

verse 2:

nyuma ni zogo anapokatiiiza ….. eeh
majumba mikoko vinahalaliiishwa……… ee
macho kodo wanapiga zongo ila bwana mdogo nimeshika soko
inanipa joto maana shida ni upweke, unashinda jokofu
inanipa uhondo anavyoshika mlimwende hata bila promo
pretty girl ananik!ll k!ll, ananijaza hamu,msosi wenye pili uuh nampa credibility kwa tabia na mwenendo amenibadili

when am back in town, watanibeep waliokua hawapokei cmu zangu
singojei simu zao, wataningojea back stage si ndio day dream zao
rocking with the best in town
vile mi m-soldier boy naye ni m-destined child
let me refresh my mind juu sasa na make up vile nilibreak last time

bridge :

ni wazi kwamba najidai napokuwa nae
maana ni ma-b-tterflies anaponi-hug
ghafla najikuta high sij-panda flight
shukrani kwa ngai, ay nasema asantee eeeh

repeat hook:

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...