lirik lagu maziwa – ethan muziki
Loading...
kuna maziwa
kuna maziwa
mwisho wa safari
mlango w*ngu uko wazi
sina siri zakuficha
nimegundua wasiwasi
ndiyo ya nisimamisha
kupepea, ninajisimamisha
kupepea, nitajirekebisha
kuna maziwa
kuna maziwa
mwisho wa safari
kuna maziwa
kuna maziwa
mwisho wa safari
kuna majambazi
wanajaribu kunitisha
wamekita kambi
wakichungulia kwa dirisha
ngojea, natafuta pesa niwahonge
pesa onge
ngojea, mlango wazi msigonge
kuna maziwa
kuna maziwa
mwisho wa safari
kuna maziwa
kuna maziwa
mwisho wa safari
safari, i’m still far away
still far away
i’m still far away
safari, i’m still far away
still far away
i’m still far
natarajia kuna maziwa
mwisho wa safari
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu eyedress › lirik lagu mr nice guy – eyedress
- kumpulan lirik lagu nikki lane › lirik lagu pass it down – nikki lane
- kumpulan lirik lagu dubmatique › lirik lagu que toi – dubmatique
- kumpulan lirik lagu julia medina › lirik lagu de contrabando – julia medina
- kumpulan lirik lagu the perfumers › lirik lagu american model – the perfumers
- kumpulan lirik lagu reef us › lirik lagu #vietnam – reef (us)
- kumpulan lirik lagu hikita › lirik lagu кидаю (throw) – hikit$a
- kumpulan lirik lagu ray lidus › lirik lagu снег (snow) – ray! (lidus)
- kumpulan lirik lagu ziaan › lirik lagu roses – ziaan
- kumpulan lirik lagu shyse › lirik lagu nebo – shyse