lirik lagu kipetero kiyesu – femi one feat. nviiri
“alikuja akanipush akanipush
hadi nikaona acha niende ni*
niget tu ball yake
sa kuget ball ati nimeshakuja
nimemwambia niko na ball
huyo boy nakwambia aliniruka
kipetero kiyesu”
chali ngori anadai wachana na party cup
told me that nitakaa supuu with a baby girl
so nikajipa na mimba akanipachika
kisha akanituka kipetero kiyesu
sa nikipiga namba mteja hapatikani
utadhani high jump na yeye olympian
nikiwa napanga k*muonyesha kwetu
aliniruka tu kipetero kiyesu
naishi pale kasa na hawa mapacha
5 years bila the dad na sijamhata
wakivunja kitu niulize nani anachapwa
wanarukana tu kipetero kiyesu
refa (referee) refa (ona referee)
ona vile tunachezwa, vile tunabebwa
refa (referee) refa (ona referee)
ona vile tunachezwa, kipetero kiyesu
wakaapa wakishapata mamlaka
mahitaji wananchi watapata
waliposhinda ni scandal juu ya sakata
ruka mwananchi kipetero kiyesu
waliungana ati hiki chama chetu
ndio tutatumia kujenga taifa letu
lakini siasa si watu nyemelea tu
kisha kurukana kipetero kiyesu
wakirudi huku tena piga debe
tunawapea mizigo zote wabebe
watazilipa hata madeni kwa pede
kwa ballot twarukwa kipetero kiyesu
refa (referee) refa (ona referee)
ona vile tunachezwa, vile tunabebwa
refa (referee) refa (ona referee)
ona vile tunachezwa, kipetero kiyesu
athletes hujidai wazalendo
kataa kuchange citizenship kuget doh
lakini juu ya hii siasa na magendo
wanatokwa tu kipetero kiyesu
wasanii wanamake ngoma na bidii
toka manewcomer mpaka wenye jina biggy
ngoma ikiblow unadhani pesa ni mingi
mcsk ni ka petero kwa yesu
mcees hutaka collabo na picha
wanabatizwa wanaoshwa wanafichwa
wakiambiwa femi one alikuzika
wanakanaga tu kipetero kiyesu
refa (referee) refa (ona referee)
ona vile tunachezwa, vile tunabebwa
refa (referee) refa (ona referee)
ona vile tunachezwa, kipetero kiyesu
refa (referee) refa (ona referee)
ona vile tunachezwa, vile tunabebwa
refa (referee) refa (ona referee)
ona vile tunachezwa, kipetero kiyesu
i’m in trouble, i’m in trouble
beth rack on the door
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu nicole natalino › lirik lagu no hay más (versión acústica) – nicole natalino
- kumpulan lirik lagu 6ix4ever › lirik lagu lost in space – 6ix4ever
- kumpulan lirik lagu johan kolstrup › lirik lagu motorcykelkapløb – johan kolstrup
- kumpulan lirik lagu sarius › lirik lagu alone/sam – sarius
- kumpulan lirik lagu dream x › lirik lagu need help – dream x
- kumpulan lirik lagu max giesinger › lirik lagu so wie du bist (aus „sing meinen song, vol. 7“) – max giesinger
- kumpulan lirik lagu vazelina bilopphoggers › lirik lagu kom og sett oss fri (lang versjon) – vazelina bilopphøggers
- kumpulan lirik lagu cookiez mx › lirik lagu chihuahua* – cookiez (mx)
- kumpulan lirik lagu young cisto › lirik lagu d.e.e.p (divine entity evoking purpose) – young cisto
- kumpulan lirik lagu los jaivas › lirik lagu tan lejos del sol – los jaivas