lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu kuzina nawe – femi one

Loading...

(ricco beats mr 808)
gimme the bounce ongeza tempo
hii ni ya machali wa nairobi na warembo
hii ni ya machali wa kampala na warembo
inua mikono na chupa mbili za tembo
gimme gimme dance gimme gimme
gimme gimme dance give it to me
rise up the tempo base and treble
huku ongeza base, huku ongeza treble
kuzina, kuzina nawe
kuzina, kuzina nawe
njagala kuzina nawe
me go take you home after party

i like a chali that likes to party
chali anafanyanga nageuka naughty
chali anapendaga kurusha noti
pale kwa bеnki ni madollar kama mita 40
mhudumu mwambie aongeze glassi
pеdi w*ngu washanishikisha na mashash
hakuna keki lakini bonge la bash
pamba moja safi nimepulizia marash
na ni k*moto sana maji baridi itaweza
wamekunja sura walimeza bila chaser
rada safi si mpaka wamechafua meza
usiwai bishana na mtu ako na pesa
kwetu 17b leo niko kampala
tunakulanga hepi mbaya
tukifika klabu hawa mamanzi wanagwaya
liquid ni moto tunakunywa konki fire
faya faya faya
gimme the bounce ongeza tempo
hii ni ya machali wa nairobi na warembo
hii ni ya machali wa kampala na warembo
inua mikono na chupa mbili za tembo
gimme gimme dance gimme gimme
gimme gimme dance give it to me
rise up the tempo base and treble
huku ongeza base, huku ongeza treble
kuzina, kuzina nawe
kuzina, kuzina nawe
njagala kuzina nawe
me go take you home after party
i love the gals that love to party
i love the sound i love the art
ever happy, ever smart
kat kuzina *****
****
****
gimme the bounce ongeza tempo
hii ni ya machali wa nairobi na warembo
hii ni ya machali wa kampala na warembo
inua mikono na chupa mbili za tembo
gimme gimme dance gimme gimme
gimme gimme dance give it to me
rise up the tempo base and treble
huku ongeza base, huku ongeza treble
kuzina, kuzina nawe
kuzina, kuzina nawe
njagala kuzina nawe
me go take you home after party
gimme the bounce ongeza tempo
hii ni ya machali wa nairobi na warembo
hii ni ya machali wa kampala na warembo
inua mikono na chupa mbili za tembo
gimme gimme dance gimme gimme
gimme gimme dance give it to me
rise up the tempo base and treble
huku ongeza base, huku ongeza treble
kuzina, kuzina nawe
kuzina, kuzina nawe
njagala kuzina nawe
me go take you home after party

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...