lirik lagu rahisi – femi one
verse: (femi one)
naskia fununu chemi chemi za mitaa
wameshindwa kunihandle wanasema femi’n star akuna news apa unoma mi inakw*nga imenifaa..
queen tangu roma ichukue league ya serie a *
mkiwa juu ya kemikal na mashimi shimi ya skss skss minko rikoo nawapikia mabidhaa
mama yao nmelelewa na zakaa wa ukoo flan
mi ndo culture na ndo maana mi na wao hatsikilizan
naifanya easy uski nai fanya rahisi
game nimekafunga ndo ni shamba ya rizki uno ka nko ndani ujue inakw*nga mazishi
naikula, naikunywa na naiwasha na zigi
nak*mbuka tukikopa mapeni
leo naquote mamita kuwaroga wikendi
hii mchezo nilianzanga bila kocha na jezi
femi one mama theirs na nasonga vimessi
chorus ;
raisiiiii naifanya rahisi …
stingo zangu different kama jersey ya keeper
quality consistent cheki kazi inajipa
mashabik nna kibao unaeza dhani madiba
n’julikana sekta zote mashinani naskika *
mr.punchlines, mi ni ka mandonga na strong hook
n’shakata mafala na manyoka kwa phone book
kateenager kako na title deed na log book
nyi mlikwa mnastikisha wasanii kwa song book (huh)
k*mechemka na your favourite star
trio mio, nani alidhani ningemake this far? *
niliwaachia kalesa nimepull ndani ya kcr
the boy is sick wanafaa wan’peleke mp shah…
nak*mbuka tukisota madeni
leo nachapa interviews nabonga na wengi
mechi nilianzanga bila kocha na jezi kakijana machachari nawatoka vimessy *
rahiiiiiiisi
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu carson lueders › lirik lagu beautiful – carson lueders
- kumpulan lirik lagu keizer › lirik lagu nooit vergeten – keizer
- kumpulan lirik lagu rene froger › lirik lagu doe maar gewoon – rene froger
- kumpulan lirik lagu ezik › lirik lagu свеж – ezik!
- kumpulan lirik lagu el dasa › lirik lagu la mesa 20 – el dasa
- kumpulan lirik lagu maleizappa › lirik lagu i giovani – maleizappa
- kumpulan lirik lagu legit › lirik lagu some boring shit – legit
- kumpulan lirik lagu james blake › lirik lagu we might feel unsound – james blake
- kumpulan lirik lagu dee › lirik lagu lighters remix – dee
- kumpulan lirik lagu abu nurah › lirik lagu my jihad – abu nurah