lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu skia – femi one

Loading...

wale huniskiza, skia skia
wale huniskia
wale huniskiza, skia skia
wale huniskia
wale huniskiza, skia, skia
wale huniskia
hii sio kismat mi niko grind we ukidoz
pia naomba flow soo, pia usimind nikifloss
ni shukrani narudisha kwa wanjiko kimani
si mngemjua pia nyi mngempea shukrani
kwa pilka niko ju kuna mahali mi nadai kufika
nafocus kwa compass ukiona nimeficha
sio na macho pekee unaweza ona vision
officials pekee wananijua initials

get rich or die poor
niko na phobia ya kurudi mahali nilikuwa
ni kulonely at the top ni sawa inakubalika
ju kule down inakuw*nga worse mara tisa
kuna wale huniskiza kuna wale huniskia
kudedi bila purpose ndio kitu mi hufear
nikiamka kesho bado nakimbia
na nikilala leo bado pesa inaingia
kuna wale huniskiza kuna wale huniskia
kudedi bila purpose ndio kitu mi hufear
nikiamka kesho bado nakimbia
na nikilala leo bado pesa inaingia
wale huniskiza, skia skia
wale huniskia
wale huniskiza, skia skia
unapanda mahindi mi napanda maembe
vile ughеt ni tofauti yangu na wewe
ka ndula haikutoshi mwenyеwe mwenyewe mpatie itamtosha
kudhani ushanisoma page mbili ndio makosa
ni sawa tuko equal lakini ujue you are not my equal
na hivyo ndio itabaki na itakuwa mpaka kifo
mungu amenipa akakupa ndo bado anaweza kunyang’anya sare pupa
nadai ku attain, nashindwa k*maintain
hii pleasure champagne ni pressure na pain
mkingundua ni mlima ndo mnacomplain
fortune si promise ju mmewai pain
nadai ku attain, nashindwa k*maintain
hii pleasure champagne ni pressure na pain
mkingundua ni mlima ndo mnacomplain
fortune si promise ju mmewai pain
kuna wale huniskiza kuna wale huniskia
kudedi bila purpose ndio kitu mi hufear
nikiamka kesho bado nakimbia
na nikilala leo bado pesa inaingia
kuna wale huniskiza kuna wale huniskia
kudedi bila purpose ndio kitu mi hufear
nikiamka kesho bado nakimbia
na nikilala leo bado pesa inaingia
wale huniskiza, skia skia
wale huniskia
wale huniskiza, skia skia

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...