lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu utawezana – femi one

Loading...

[intro]
femi, ndio ule mejja
ndio ule mejja
si ulikuwa unadai kuchapiana na yeye
ishia ishia ishia
ricco beatz, mr 808

[verse 1: femi one & mejja]
okonkwo pole nimekuja ghafla
usijali
ni vile ‘we hukuwa umenibamba
aah, femi one pia kw*ngu we ni msoo
kwanza vile ulituosha kwa ile verse ya ligi soo eh
nakupenda manze we hukuwa m*humble
asanti
legend kw*ngu we ni icon
aah, story za icon kwanza weka mbali
femi one mi hukuwa nimekutamani
eeh, okonkwo umeanza kunichocha
ah zii
ni*show “ni wapi uliniona?”
aah, femi one (ah) we hunibamba kwa instagram nikicheki hizo mapaja
[chorus: femi one & mejja]
onkonkwo na kitambi utawezana?
ntawezana
nikikupea utawezana?
ntawеzana
manze femi one nikikupata, nitakupеnda ka vile napenda tumbler
aah
onkonkwo na kitambi utawezana?
ntawezana
nikikupea utawezana?
ntawezana
manze femi one nikikupata, nitakupenda ka vile napenda tumbler

[verse 2: mejja & femi one]
iko haga yako iko
naipenda ka mke nyumbani na mwiko
eh*eh
mejja umeanza kuni*flatter
ah ah
unataka kunikula kama platter
hio kifua nataka kuichambua
eeh?
mi nataka kukulamba mpaka ushindwe kupumua ah
ki*design umeanza kunibamba
nikikupea usiende kutangaza
ah, hio ni siri (wazi), ka pin number
sitaambia mtu, sitaambia hata king kaka
haina noma leo, utanikula
lakini ka ni ndogo usishinde ukikuja
[chorus: femi one & mejja]
onkonkwo na kitambi utawezana?
ntawezana
nikikupea utawezana?
ntawezana
manze femi one nikikupata, nitakupenda ka vile napenda tumbler
aah
onkonkwo na kitambi utawezana?
ntawezana
nikikupea utawezana?
ntawezana
manze femi one nikikupata, nitakupenda ka vile napenda tumbler

[verse 3: femi one & mejja]
napenda machali wako na swagger
okay
nikicheki fashion yako hapana
femi one, hao machali luku luku
ni luku tu lakini hawana kakitu
ah, nataka kurombosa hadi chini
ah, nataka kuiokota huko chini
ah, napenda kupakua nikiwa juu
ah, siteti napenda hio view
fungua bonnet (okay), toa screw (aha)
mbona unanidai na usiniambie uongo
ah, nakudai ju umetoka ghetto
na ‘we ni manzi hardcore, manzi mathongo, uh
[chorus: femi one & mejja]
onkonkwo na kitambi utawezana?
ntawezana
nikikupea utawezana?
ntawezana
manze femi one nikikupata, nitakupenda ka vile napenda tumbler
aah
onkonkwo na kitambi utawezana?
ntawezana
nikikupea utawezana?
ntawezana
manze femi one nikikupata, nitakupenda ka vile napenda tumbler

[outro: mejja]
femi uno
mtoto wa khadija
ha*ha

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...