lirik lagu tajiri yangu – fid q
-chorus(paul clement)
ewe, ewe tajiri yangu
wewe ndiwe kila kitu kw-ngu
ewe, ewe tajiri yangu
wewe ndiwe kila kitu kw-ngu
we ni tajiri, wa matajiri
we ni tajiri, tajiri yangu
verse 1(fid q)
lord, ni ngumu kujua we uko wapi ila unajua nilipo
.naiska haki kuipata ni bahati
vyuma vikiza najichangachanga kuusaka mshiko
na mbanga zinakwaza madada wa kudanga wanabamba vifo
na waliopinda we uwalinde nolove
ka wale wajinga walionipinga napowinda wokovu
haunipi shida bila namna kuisolve
we ndio mmiliki wa kila tiba na hauna roho mbovu
hauna roho mbovu unanipa incharge na power ninyanyue juu
ni zaidi ya dawa sikuhitaji ninapougua tu
unaniweka sawa devil akitua hamchukui q
una uwezo wa kunigawa au kuniumbua sio tu kuniumba mkuu
ni rhumba tu ndio linaweka vumba juu na kututesa kama mfungwa aliyechoka kudundwa juu
we ndio boss ninaekuamini haututosi tukichomewa
sio wale wanaowahi kazini ili wafoke tukichelewa
[chorus](paul clement)
ewe, ewe tajiri yangu
wewe ndiwe kila kitu kw-ngu
ewe, ewe tajiri yangu
wewe ndiwe kila kitu kw-ngu
we ni tajiri, wa matajiri
we ni tajiri, tajiri yangu
verse 2 (fid q)
mwanadamu amemtawala mwanadamu kwa k-muumiza
anakwapua mpaka asivyovihitaji bila kubakiza
hii inafanya nafsi yangu ikose subira
ikose usingizi, uoga huzuni niwe na hasira
kw-ngu furaha nikiwa na mungu sio mlungula
na pia siku zote mla raha na chungu hula
najua nilipotoka, najua wapi nilipo isipokuwa ni we pekee unajua lini nitafika mwisho
cheo chako ni kirefu zaidi ya dunia
kipana zaidi ya bahari, ulinzi mkali hakuna askari anaefikia
namlaani shetani kiundani nipate kujua mkuu
ili nijihami na mtihani nisiache tusua q
najua una huruma naomba nikib-ma usinitose
mwanadamu atazingua heshima sio utumwa kwa boss
hauwezi nunua uhai sasa najidai kwa lipi?
[chorus](paul clement)
ewe, ewe tajiri yangu
wewe ndiwe kila kitu kw-ngu
ewe, ewe tajiri yangu
wewe ndiwe kila kitu kw-ngu
we ni tajiri, wa matajiri
we ni tajiri, tajiri yangu
[bridge]
siwezi kuwa masikini sababu
anaenitunza ni tajiri ni mungu
asieacha nigange njaa, nikose furaha, nikate tama
ewe ewe tajiri, yangu
we ni kila kitu kw-ngu
umebeba uhai w-ngu
umebeba maisha yangu
tajiri wa uhai w-ngu
tajiri wa maisha yangu
tajiri wa kila kitu kw-ngu
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu 2kthagoon › lirik lagu bands up – 2kthagoon
- kumpulan lirik lagu pastor john jebaraj › lirik lagu ithuvarai nadathi – pastor john jebaraj
- kumpulan lirik lagu future › lirik lagu tie my shoes – future
- kumpulan lirik lagu stlyanno › lirik lagu 6 paths – stlyanno
- kumpulan lirik lagu z chen › lirik lagu 相逢恨早 – z-chen
- kumpulan lirik lagu feat r o y a l t y childish gambino › lirik lagu assshots remix (feat. r o y a l t y) – childish gambino
- kumpulan lirik lagu amaus › lirik lagu nos vemos a las 9 – amaus
- kumpulan lirik lagu blackfoot › lirik lagu silent type – blackfoot
- kumpulan lirik lagu mazzy star › lirik lagu that way again – mazzy star
- kumpulan lirik lagu pigeons playing ping pong › lirik lagu henrietta – pigeons playing ping pong