lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu why – fitzon dai

Loading...

endever classic
lunch producer
fi..fi..fitzon dai

verse 1
freaky am not done like a ut
yani nimetoka far na sijuti
na kama sitamake nani luci..
d*mn it..
wananicheka leo nami sijali
eti kesho unaform na nani.?
wajuwe mimi kesho rubani…
why lord (why..),why me
tofauti yangu ni nini
kuna watu roho mbaya siwaamini
na ipo siku yangu najiamini
why god,mbona ivi
wanaosali sana maskini
eti kesho kuna form ya madini
hizo vitu mi siamini..
chorus
nahisi,hii safari sijafika ila bado mimi naishi
sijali hao wazushi,awanivishi
nikikazana wan*z*di kuongea nini,awanilishi
sibahatishi,awatoshi,mamluki
nikik*mbuka virus zinafanya mimi ninaishi
siwafichi,ila siri,siubishi
nikatamani sana kuingia uko ndani ni mazishi
na si utani,ni mazishi

verse 2
am the boss,trust me
ukitaka anything,followed me
ching ching,believe me
i go make you fame homie
aah,nikajua hii maisha ni kustruggle
nika suffer nikaform hio bevo
in the mid nikakosa hata meko
na ikawa ndoto nikaform label
ooh my god, it’s really
now i know the devil can’t win
everything in this world is really
in jesus name you win
and the glory in him
ofcourse me i’m in
let’s win through him
in jеsus name i win
chorus
nahisi,hii safari sijafika ila bado mimi naishi
sijali hao wazushi,awanivishi
nikikazana wan*z*di kuongea nini,awanilishi
sibahatishi,awatoshi,mamluki
nikik*mbuka virus zinafanya mimi ninaishi
siwafichi,ila siri,siubishi
nikatamani sana kuingia uko ndani ni mazishi
na si utani,ni mazishi

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...