lirik lagu sambaratika – flier
polisi ni wa tajiri
sheria ni ya maskini
ushuru ni ya mafia
uhuru ni ya pr
shahada hizo karatasi
elimu nayo maridadi
kenya hii hakuna kazi
walishapea mashangazi
manabii walitabiri
wengi wakuamini
system ni ya majambazi
sasa tunajuta
shahadah hizo hazitoshi
elimu siku hizi pochi
kenya hii hakuna haki
walishapea mali mali
toa jam, toa jam
mheshimiwa yuko nyuma huyo anacome
wananchi wamefunga njia kama slum
saa ving′ora zinalia kama ambulance
walimeza evidence
mashahidi waka change ma statement
wengine saa ni past tense
familia w*n*lia kuna foul play
katiba hio hawafwati
buda kama huna ganji
kenya hii hakuna haki
walishapea mali mali
oh yea
bwana anakuona
mpaka moyoni mwako
bwana anakuona
mpaka moyoni mwako
bwana anakuona
mpaka moyoni mwako
bwana anakuona
mpaka moyoni mwako
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu daneksoulja › lirik lagu не похожи (ne pohozhi) – daneksoulja
- kumpulan lirik lagu gaptoothlukaz › lirik lagu pretttyy bitch – gaptoothlukaz
- kumpulan lirik lagu window business › lirik lagu here’s my card – window business
- kumpulan lirik lagu sondae › lirik lagu be at home – sondae
- kumpulan lirik lagu acidgvrl › lirik lagu yumi the rappuh – acidgvrl
- kumpulan lirik lagu mobtrap › lirik lagu trapperi wannabe – mobtrap
- kumpulan lirik lagu bm tpl › lirik lagu welcome te gazza – bm (tpl)
- kumpulan lirik lagu unverkalt › lirik lagu loathe & love – unverkalt
- kumpulan lirik lagu milena galasso › lirik lagu i’ll be gone – milena galasso
- kumpulan lirik lagu 2kley › lirik lagu csgo what i’m playin – 2kley