lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu silali leo – ghafla

Loading...

intro
yeeah
e.j
billnas billnas
(dobe pro)

verse 1 (ghafla)
naona warembo shanga nje utafikiri promotion
wanangu wanaruka hewani wanahitaji location
nyuzi joti k*mi na tano kaskazini msinichoshe
ni a city baridi kali sihitaji more question
na roll town na kibegi
napoa mtaani na viben
mshiko bado ni vichenchi
kuna roho flani hazijengi
kichwani nina para halafu sio billgate
waliokuwa hawanitafuti ndo wanadai nime change
harakati za kala okoa mtaa kuna rafu
vinywaji vyetu banana,balimi,nyagi kavu
nimemeza ma*key
na demu w*ngu yuko p
top ten sipo mi
na rafiki yake anasema ghafla okay

chorus (billnas)
njoo usiwaze,nikupange
ishu ni pesa mtaani hakuna party day
tukizipata hata sasa inakuwa friday
tukizichangaga sana mnaleta pai nyie
hai wee
high way
tunapita njia ya juu hakuna paa leo
sibaki nyumbani leo
mchunge sana mkeo
tangu mchana anasema na ye halali leo
silali leo *6
waambie wenzako na wewe pia hulali leo
vеrse 2 (elisha james)
sio tu friday hata monday
vibe mi nafanya my way
i go hunting rеst of the days
kesho inafaa ijitetee
i wanna rock right now
tungi juu ya meza sina joke right now
mif*ko inajieleza we don’t talk right now
ni ka kuna utelezi we don’t stop right now
naja juu kwa juu nimeshachoka matabaka now
nakuhusu kutoka kuhusu kusota pia nishasahau
round table na warembo usiniletee jau
kuja for some cheers and toast wild n out

chorus (billnas)
njoo usiwaze,nikupange
ishu ni pesa mtaani hakuna party day
tukizipata hata sasa inakuwa friday
tukizichangaga sana mnaleta pai nyie
hai wee
high way
tunapita njia ya juu hakuna paa leo
sibaki nyumbani leo
mchunge sana mkeo
tangu mchana anasema na ye halali leo
silali leo *6
waambie wenzako na wewe pia hulali leo

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...