lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu speed – gosby

Loading...

chorus

boy tuko full speed, wanangu wako home wanacheki movie
najua nawaudhi, hata mseme nini hatununui iii x2

verse 1 – gosby

gosby carlito brigante tony montana, wakiniona wenye wanahama/
hata siku moja huwezi kuniibia mi namanga/
nawanangu mzimu wa babu we watak*munga/
demu wako yuko maison unajua anadanga/
amekuzuga *n*lala yuko huku anadanga/
akidaka chupa za henny baadae wanammanga/
we unajua baadae wa nammanga/
busisi / life ni fupi/
sio sisi nahisi ni news/
full biii that kid is too sick ni wa biiii/
chorus

boy tuko full speed, wanangu wako home wanacheki movie
najua nawaudhi, hata mseme nini hatununui iii x2

verse 2 – gosby

f*ck you tryna know my name/ y’all ain’t know me bro?
nacheki kama uko na name sikuoni bro/
ebu cheki again inamaana huoni soo/
hawa ndio wananiboa tena sio kidogo/
like how do you go out na huna cash/
like how you get money halafu zote unaenda kubet/
are you for real dawg? is you for rеal dawg?
fly boy utasema niko chicago/
na fly doors my n*gga that sh*t is lambo/
wanacheka kwa mbali huh gozi mambo/
si mwaka jana mligoma kutoa mambo/
bobo my n*gga amesеma we’re going viral/

chorus

boy tuko full speed, wanangu wako home wanacheki movie
najua nawaudhi, hata mseme nini hatununui iii x2

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...