lirik lagu kamaliza – harmonize
eyoo kenny
tito hii hapa sauti ya
jemedari, k*n*li amri jeshi mkuu konde boy
now we’re back where we belong
nasema mtoto wa nyumba ile
nyumba ile, nyumba ile (hana haya)
mtoto wa nyumba ile
nyumba ile, nyumba ile (hana haya)
mtoto wa nyumba ile
nyumba ile, nyumba ile (hana haya)
mtoto wa nyumba ile
nyumba ile, nyumba ile
mwenzenu pesa kidogo anajiona kamaliza
eti kisa kasoma ulaya anajiona kamaliza
mwenzenu insta ana 10k anajiona kamaliza
na nywele za kuazima anajiona kamaliza
na make*up za kuunga unga anajiona kamaliza
makalio ya kichina anajiona kamaliza
kisa kibabu kinamhonga anajiona kamaliza
limama limemweka ndani anajiona kamaliza
eti kisa ana sumu mpya anajiona kamaliza
yeye kutwa yupo tungi anajiona kamaliza
tena anajisifu ukitaniana wakimbiza
eti kisa ana danga jipya anajiona kamaliza
nasema mtoto wa nyumba ile
nyumba ile, nyumba ile (hana haya)
mtoto wa nyumba ile
nyumba ilе, nyumba ile (hana haya)
mtoto wa nyumba ile
nyumba ile, nyumba ilе (hana haya)
mtoto wa nyumba ile
nyumba ile, nyumba ile
watoto wa banda, zuu na kunasia
kipengo hapa amri kuu jeshi
konde boy
mama mpeeni mbeleko amlee mwanawe
nasema mama mpeeni mbeleko amlee mwanawe
mama mpeeni mbeleko amlee mwanawe
dj tito piga magoma tuwarushe masela
mwanangu tito piga magoma tuwarushe majita
ah fanya kama unasusa, we unasusa
mpaka chini unagusa, we unagusa
fanya kama unasusa, we unasusa
mpaka chini unagusa, we unagusa
eti kisa ye ndo kijumbe, anajiona kamaliza
dada yenu kachumbiwa anajiona kamaliza
eti kisa we sungusungu unajiona kamaliza
eti kisa baba yake kiongozi anajiona kamaliza
siku hizi anapanda ndege anajiona kamaliza
zikiisha mto kahamu anajiona kamaliza
(tito yii)
utasema hanifahamu anajiona kamaliza
eti kisa amenizalia anajiona kamaliza
na mwanenu amepata kazi anajiona kamaliza
siku hizi masikani hatokei anajiona kamaliza
na hata simu zangu hapokei anajiona kamaliza
[?]
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu kayan › lirik lagu be alright – kayan
- kumpulan lirik lagu gulben ergen › lirik lagu gencecik delikanlı – gülben ergen
- kumpulan lirik lagu мера mera rus › lirik lagu сон (sleep) – мера (mera rus)
- kumpulan lirik lagu madonna › lirik lagu nothing really matters (club 69 future mix) – madonna
- kumpulan lirik lagu scvtterbrvin › lirik lagu robertson’s grave – scvtterbrvin
- kumpulan lirik lagu savage gap › lirik lagu bambis room frestyle – savage ga$p
- kumpulan lirik lagu j d souther › lirik lagu step by step – j. d. souther
- kumpulan lirik lagu paul davis › lirik lagu if we can get through the night – paul davis
- kumpulan lirik lagu by stefanie mccarol › lirik lagu spark – spark lyrics by stefanie mccarol
- kumpulan lirik lagu jason mraz › lirik lagu be where your feet are – jason mraz