lirik lagu you – harmonize
bboy on the beat
hmmm, yeah
mikono juu na surrender
acha dunia ijue muuni amependa
w*ngapi waikuja wakaenda
mbona ni wewee
mwenzako nahesabu calendar
siku masaa yanakwenda
hebu fanya urudi nakupenda
basi nielewee eeeh
kitaniumbua kifo nikiyaficha maradhi
sikujua before before k*mpata unaempenda ndio kazi
nimejaribu haka kawimbo kukuimbia
pengine labda utakasikia
ishara tosha kuwa najutia
fanya unisamehe hi mambo ya ujana
moyo unakufa ganzi nikifikiria
mazito tuliyo yapitita
yaliyou kufanya utaki ata nisikia
bado nahisi ni kama jana
hakuna aliye kamilika
hata unae mdhani malaika
bado anaweza kuwa shetani
na ukasema bora mimi
ndoto yangu bado haijafutika
naamini siku itafika
tumwite sheikh na ubani
au tufunge ndoa kanisani
ohh beibei
i miss you
i miss you
i miss you
i miss you
kweli mapenwi hayana ujanja
hayajali jina mkwanja
yani nimepita kila kiwanja
ila nimеnasa kwa mtoto wa massanja
wewe ni mtu wa mungu
tena mlokolе yanini app ya mange
wapiga majungu wakina lokole
wanao pakaza me nakula bange
naaguka makosa tena nipo radhi kutoa posa
basi fanya urudi malikia
tuje kuanza tulipo ishia
waambie mashoga zako si kwa ubaya
ila me sipendagi kuongea
unamsemaje mwenzako bangi mbaya
kama hujawahi hata mgongea
hakuna aliye kamilika
hata unae mdhani malaika
bado anaweza kuwa shetani
na ukasema bora mimi
ndoto yangu bado haijafutika
naamini siku itafika
tumwite sheikh na ubani
au tufunge ndoa kanisani
ohh beibei
i miss you
i miss you
i miss you
i miss you
of course bboy beat
konde boy call me number one
bakhresa
it’s what it is baby
i want to come back
it’s what it is baby
i want to come back
come back my baby
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu icona pop › lirik lagu f u – icona pop
- kumpulan lirik lagu various artists › lirik lagu pardon me babe – various artists
- kumpulan lirik lagu sfb › lirik lagu lituatie [tracklist + cover] – sfb
- kumpulan lirik lagu pascow › lirik lagu hamburg – pascow
- kumpulan lirik lagu the game › lirik lagu two blunts – the game
- kumpulan lirik lagu empire cast › lirik lagu last night – empire cast
- kumpulan lirik lagu detonautas roque clube › lirik lagu el perae !!! – detonautas roque clube
- kumpulan lirik lagu icecolt › lirik lagu gettin too crazy – icecolt
- kumpulan lirik lagu callmekarizma › lirik lagu darkness – callmekarizma
- kumpulan lirik lagu masked intruder › lirik lagu take what i want – masked intruder