lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu one night stand – ibraah

Loading...

[paroles de “one night stand” feat. harmonize]

lalalala
aiyete iyeee
konde boy

mi baba yangu sio magufuli
ama kenyatta wa kenya
nikudanganye mugabe
ni uongo sio sawa

hata nyota yangu mi ni ya sufuri
sio wa kupata tena
kula yangu tu mazabe
sina mchongo kama chawa

what i believe, what i believe
no money no love
yupo ulompaga moyo
akaugawa vipande

nimeumbwa na wivu
mi na wivu moyo w*ngu sio mbovu
hakuwaga mchoyo
kutwa miguru upande
kwanza mapenzi yamezaliwa bombay
masong kwenye majani (ayee eh)
utaweza mwana wa mondy
amemshinda sharukani (ayee eh)

agiza nyama na pombe
ah tulewe twende chumbani (ayee eh)
nikupe mhogo wa jang’ombe
kisigino kiwe begani

baby all i need mi siwezagi kuzunguka
one night, one night, one night stand
yaani nipе nikupe kabla hakuj*pambazuka
one night, one night, onе night stand

(konde boy)
siku hizi kupenda penda k*mepitwa na muda
one night, one night, one night stand
yaani akikupa kula akisusa mwingine atakuja
one night, one night, one night stand

usijidanganye umemkamata
mtoto wa mjini
magoli mengi samata
hata uzame chumvini
ila kuna wazee wa migodi
hawagongagi hodi
ujifanye mjanja unachunga
ila ndo w*n*lipa kodi

utadanganya anaenda jogging
k*mbe yuko lodging
mwenzako anajaza mimba
uko gym unajaza body

what i believe, what i believe
no money no love
yupo ulompaga moyo
akaugawa vipande

nimeumbwa na wivu
mi na wivu moyo w*ngu sio mbovu
hakuwaga mchoyo
ah, kutwa miguru upande

kwanza mapenzi yamezaliwa bombay
masonge kwenye majani (ayee eh)
utaweza mwana wa mondy
amemshinda sharukani (ayee eh)

sio unakunywa tu mapombe
unajua anayelipa nani? (ayee eh)
twende nkakupe guu la ng’ombe
ukaugulie nyumbani chii!
baby all i need mi siwezagi kuzunguka
one night, one night, one night stand
yaani nipe nikupe kabla hakuj*pambazuka
one night, one night, one night stand

siku hizi kupenda penda k*mepitwa na muda
one night, one night, one night stand
yaani akikupa kula akisusa mwingine atakuja
one night, one night, one night stand

asa beiby nipe (nipe nikupe)
acha za kung’ata makucha (nipe nikupe)
mara unapandisha unashusha (nipe nikupe)
mida inakwenda (nipe nikupe, tumalizane leo leo)

eh mbuzi kafa kwa bucha (nipe nikupe)
mbona saa unayeyusha (nipe nikupe)
ukichelewa nitasusa (nipe nikupe)
hebu sogea kwa chamber (nipe nikupe, tumalizane leo leo)

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...