lirik lagu sawa – ibraah
[paroles de “sawa”]
it’s bonga
(oh nah nah nah nah nah aah)
asante mungu baba uliye mwema
nimeiona siku nyingine ya furaha
hali sio haba sio njema
wa kuniponya nipate hata chembe ya furaha
maana wazazi wananitegemea
na ninakaribia mi kuitwa baba
nami ndunguzo waloegemea
sina kitu nimechalala nimevava
uniepushe mabaya dunia
yasijenik*mba
napiga goti kwa uchungu nalia
ni nusuru muumba
katu nisikate tamaa
niende kusaka tonge
nipate ama nishinde njaa
moyoni upige konde, ni sawa eh!
ni sawa, ni sawa
nami nitafika (ata nikikosa sawa)
ni sawa, ni sawa
nami mimi utanipa (ah ridhiki we ndo unayegawa)
sawa, ni sawa
nami nitafika (mwanadamu hawezi panga)
ni sawa, ni sawa
nami mimi utanipa (sitozuguka kwa waganga)
natapa tapa elimu sina
mi kusoma sijasoma
nami nasaka nijenge heshima
mi nakoma ju wananichoma
ni wewe pekee ndo naye jua
ah mbele yangu na nyuma yangu
mie mpweke naomba dua
ah baba fungua ridhiki zangu
nashukuru baba, pumzi unayonipa
maisha naendelea
ila kingine baba, nadhalilika
huu mzigo unanielemea
baba niwewe baba (ni wewe)
niwe ndo msaada (ni wewe)
ni wewe, ni wewe
baba ni wewe
uniepushe mabaya dunia
yasijenik*mba
napiga goti kwa uchungu nalia
ni nusuru muumba
katu sikate tamaa
niende kusaka tonge
nipate ama nishinde njaa
moyoni upige konde
ni sawa, ni sawa
nami nitafika (ata nikikosa sawa)
ni sawa, ni sawa
nami mimi utanipa (ah ridhiki we ndo unayegawa)
sawa, ni sawa
nami nitafika (mwanadamu hawezi panga)
ni sawa, ni sawa
nami mimi utanipa (sitozuguka kwa waganga)
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu ransom big ghost ltd › lirik lagu a king’s ransom – ransom & big ghost ltd
- kumpulan lirik lagu dufflebagg j › lirik lagu snitches – dufflebagg j
- kumpulan lirik lagu zero mindset › lirik lagu farplane – zero mindset
- kumpulan lirik lagu sabrina san › lirik lagu nighttime – sabrina san
- kumpulan lirik lagu mc arabica › lirik lagu l’étoile – mc arabica
- kumpulan lirik lagu sivilo › lirik lagu bang bang – sivilo
- kumpulan lirik lagu tarun › lirik lagu genisys – tarun
- kumpulan lirik lagu abraskadabra › lirik lagu do we need a sign? – abraskadabra
- kumpulan lirik lagu fedrell › lirik lagu la última vez – fedrell
- kumpulan lirik lagu maverick miles › lirik lagu avril lavigne – maverick miles